Huo ndio ukweli hapo haujaweka Kura za wakalenjin wenzake Ruto, wamasai, kwa wakamba pale kalonzo alishajiishia Hana ushawishi ndio maana akina Alfred mutua walisogezwa karibu, hesabu ya kuvunja domination ya wakikuyu ilipigwa vyema na Ruto na hiyo yote ni kumaliza mizizi ya familia ya kenyatta Kenya , kumbuka Raila atakua zake AU anajilia posho kibao , vijana wake akina joho wako barazani nao wanakula maisha , akina Aisha jumwa hawatoachwa wanapigwa ubalozi wakale maisha mbele ya safari ndio maisha yalivo , Gen Z ya Uhuru , gachagua na Jimmy wanjigi imekufa kibudu na haitokuja na amshaamsha tena zaidi wataandamana mlima Kenya kidogo halafu watakosa backup ya nchi nzima bado wataonekana wakabila maana wanatuhumiwa kwa ukabila, kwahiyo wachague kusuka ama kunyoa japo wao mlima ndio matajiri wa Kenya yaani ndio wanamiliki njia kuu za uchumi lakini bado Ruto kaamua kuwavaa