Sasa hapo ndipo pa kujiuliza, mpira wa wapi unaanza hivi? Yanga ni watu wa manyanga.
Hahaha, siku nikiwa huko twende uwanjani ndio utajua mm timu ganiHahahaaa. Ningejua nini?
Au we Yanga mwenzangu kitambo.
Hahahaaa. Haya Mtani.Hahaha, siku nikiwa huko twende uwanjani ndio utajua mm timu gani
Nakusaidia picha yao niliwakong'oli jana walivyokuwa wanaingia Taifawarembo wengi hapa jukwaani wengi ni watoto wa jangwani..warembo hao ambao wanaonekana wako vizuri upstairs na ni pini kweli kweli(kwa sauti ya jiwe) huwaambi kitu mbele ya yanga wakiongozwa na mama la mama
Hajar
Mzigua90
Nifah
Thad
Numbisa
zeshchriss
Hao ni baadhi tu wengine jitokezeni tuweze kuwaandalia kadi za uwanacha
Hahaha hapa hapana mtani, iko siku tutakutana uwanjani ujionee mwenyewe π πHahahaaa. Haya Mtani.
Ila kwani nini kinazuwia kunifungukia tu nikajua banaa maana mpaka ikija kufika huko si leo ujue. [emoji12][emoji12]
Au wataka nife na kihoro. Teh teh
mimi nipo hapoNakusaidia picha yao niliwakong'oli jana walivyokuwa wanaingia TaifaView attachment 883297
Huyo mrefu huyooo wa kati KatiNakusaidia picha yao niliwakong'oli jana walivyokuwa wanaingia TaifaView attachment 883297
NumbisaHuyo mrefu huyooo wa kati Kati
Alie top listMama la mama ni nani?
HahahaNumbisa
Aiseee sijui kwann napendaga sana mapaja ya hawa viumbe[emoji12]Nakusaidia picha yao niliwakong'oli jana walivyokuwa wanaingia TaifaView attachment 883297
Aisee...kweli nchawi wq ntu ni ntuNaweza pata fursa ukiachika
Aisee!Aiseee sijui kwann napendaga sana mapaja ya hawa viumbe[emoji12]
Tunazo nyingi sana hiziMambo ya Msimbazi hazard cfcView attachment 883687