Pini kali zote za jf ni YANGA

Pini kali zote za jf ni YANGA

warembo wengi hapa jukwaani wengi ni watoto wa jangwani..warembo hao ambao wanaonekana wako vizuri upstairs na ni pini kweli kweli(kwa sauti ya jiwe) huwaambi kitu mbele ya yanga wakiongozwa na mama la mama

Hajar
Mzigua90
Nifah
Thad
Numbisa
zeshchriss


Hao ni baadhi tu wengine jitokezeni tuweze kuwaandalia kadi za uwanacha
Nakusaidia picha yao niliwakong'oli jana walivyokuwa wanaingia Taifa
FB_IMG_15383968209270950.jpeg
 
Hahahaaa. Haya Mtani.

Ila kwani nini kinazuwia kunifungukia tu nikajua banaa maana mpaka ikija kufika huko si leo ujue. [emoji12][emoji12]

Au wataka nife na kihoro. Teh teh
Hahaha hapa hapana mtani, iko siku tutakutana uwanjani ujionee mwenyewe 😀 😀
 
Back
Top Bottom