Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Jana nimeenda kununua nikakuta inauzwa 1000 nimeludi bila kugeuka jamn twambiane ni kwann zimepanda bei
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elfu Moja Kwa mojaNi Ngapi zinauzwa hiyo bei...?
UmepigwaElfu Moja Kwa moja
Huwo ni uwongo 🤓🤓🤓🤓😂😂😂😂😂😂Elfu Moja Kwa moja
Itakuwa pakti nzima 😂Ni Ngapi zinauzwa hiyo bei...?
Duh..Jana nimeenda kununua nikakuta inauzwa 1000 nimeludi bila kugeuka jamn twambiane ni kwann zimepanda beiView attachment 2826674
na hiki ndicho alichokuwa anataka kukiwakilisha anaanza kuzuga na mambo ya bei.ila nasikia zina namna yake ya kutumiwa kikubwa ‘mimi siijui.
Wazee wa mahandakiVijana wa Tanzania hawana tofauti na HAMAS
na hiki ndicho alichokuwa anataka kukiwakilisha anaanza kuzuga na mambo ya bei.
Moro Town mkuuWap huko
Umeua😂😂😂🙌🏾🙌🏾🏃🏽♂️Condom zenyewe zinauzwa 7,000 hadi 10,000 na tunanunua ndiyo sembuse hiyo elfu 1 kwa Pipi kifua 🤪