Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Unavoandika sasa kama kweli...Hujakuwa bado faza nini?? Zinasaidia sana kukata kichefuchefu cha mimba changa na mate kujaa mdomoni kwa mama kijacho.
Pia ukinunua kitu leo, haimaanishi unatakiwa kula hapo hapo kiishe⦠kuna kesho
ππππππππππ