Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Mimi napika kwa kuweka tui la nazi la kwanza nzito na hiriki na sukari kidogo
Mim kama wewe hiyo nakula balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi napika kwa kuweka tui la nazi la kwanza nzito na hiriki na sukari kidogo
Sawa boss nikipika tena....Pole sana... Weka picha tuone...
Mimi napenda maboga pia.Ila pia haya maboga ya bongo ni ya kama kamali vile,unaweza bahatisha .Sema namna nyingine ya kujua boga zuri ni lile lenye uzito mkubwa,yaan linakuwa dogo kwa size ila zito sana.Wapishi wa humu nawasalimu.
Napenda sana kula boga, ila upishi wangu unanikatisha tamaa, nikinunua boga kwenye migahawa huwa nakula linakua zuri linakua na unga unga kama kiazi kitamu.
Ishu sasa nije nilipike mimi, linakua lina maji maji, yani linanyonya maji sijui likiiva nikiliweka kwenye sahani linavuja maji tu (mchuzi maji)... hata halivutii tena kula linakata stimu. Nakosea wapi?
Huwa naandaa hivi: nalikata vipande namenya maganda, naweka kwa sufuria, chumvi kidogo na maji kidogo nachemsha.
Ila matokeo ndio hayo mimaji, kuna upishi mwingine? Au nakosea kuchagua boga? ( Siku zote sijui tu kuchagua mmh).
Niliwahi kusikia linatakiwa kuanikwa kabla ya kupika, ni kweli?
Naombeni ujuzi.
Khaa we nae sijui umetokea wapiUnazungumzia pitiku wewe.
hiyo unatakiwa ukaange.
mboga ya mabogo maji maji huwa ni libaya kwangu
Napenda nikichanganya na viazi mbatata.Raha ya boga lipikwe futari
Mbona matamu sana.Maji yawe kidogo sana
Funikia na sufuria linalofit sufuria unayopikia ili liivie na mvuke
Ila haya maboga sijawahi yaelewa jamani
Pitiku linoga lya chupuchupu, la ngali mahuta, afu livya la chihuku mweeh livya la kijani mukumuku, ukateleka na ugali wa sembe la kuloweka, ooooh ujiruma minu. [emoji23][emoji23][emoji23]Unazungumzia pitiku wewe.
hiyo unatakiwa ukaange.
mboga ya mabogo maji maji huwa ni libaya kwangu
Mmmmh boga unaweka sukari?Mimi napika kwa kuweka tui la nazi la kwanza nzito na hiriki na sukari kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahNiliwahi kutana nalo limepikwa ndani ya makande[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena ugenini
Ndio tamuuMmmmh boga unaweka sukari?
Pitiku ni chakula gani tena hicho...Pitiku linoga lya chupuchupu, la ngali mahuta, afu livya la chihuku mweeh livya la kijani mukumuku, ukateleka na ugali wa sembe la kuloweka, ooooh ujiruma minu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Pitiku ni chakula gani tena hicho...
Oooh okay huku usukumani twaita msusaNi mboga ya majani ya maboga ! [emoji3][emoji3][emoji3]
Huku madaba ndivyo tunavyoiita kwa kingoni!
Mie hayajawahi kunivutia kwa kweliMbona matamu sana.
Duuuh aseehMie hayajawahi kunivutia kwa kweli
Majani ya maboga dea.Pitiku ni chakula gani tena hicho...
Wee kabisaah?Ndio tamuu