Pishi la mboga ya majani ya maboga

Aisee nimepata dada wa kazi Toka Tanga hili pishi la hii mboga alilopika sijawahi kulila kabisa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Evelyn Salt alipiga tizi la nguvu siku hizi amekuwa fundi sana hata mduara anaweza kutengeneza bila shida
Zile chapati nilishanawa mikono,nimeshindwa na sina mpango wa kujaribu tena aseeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Hizi mboga nazipatia kupika,kukata kata tu ndio huwa mtihani
 
Okay waulize mafundi kuhusu ukandaji wa unga. Ukiweza kujua hilo basi utakuwa fundi. Kuhusu chumvi hilo wala si la kukatisha tamaa.
Mie round ya chapati naipata

Changamoto ni ule ukau kau,ugumu na kupungua ama kuzidisha chumvi
 
Upate na ugali dagaa au samakiπŸ˜‹πŸ˜‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…