Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
π€£ π€£Baba ntilie Mwachiluwi Njoo umchukue mama ntilie wako mkaunge kikundi chenu wa wapishi.
Haaa kipi hicho πAnyway, nilijua ni kile kitumbua, kumbe ni kitumbua
Bagia π€€π€€π hebu huko usinipe hamu mpya.1. Bagia, nikipatwa na hamu ya hiki kitu siwezi tulia hadi nipate na nile, ntafanya vyovyote lazima nipike.
Uzuri ingredients huwa nakua nazo ndani, kuna siku niliandaa na kupika SAA 9 usiku.
πππππ
Ba tamu ndiyo yule yule huwa anakutag tag humu πππ2. Sijalala, nachati na Ba tamu, huku naperuzika chimbo nasoma mikasa ya vidampa, mie hoi.
πππππ
Nikishashiba vitumbua nitajua hamu gani nyingine inafuataMkuu wewe hamu yako usiku ni ya vitumbua tuu?!
Hicho nacho huwa kitamuMm nataka pochi manyoya
Kitumbua babkubwa πHaa kipi hicho π
Mpare wangu kwenye moja na mbili πKitumbua babkubwa π
SanaΓHicho nacho huwa kitamu
NmekumisMpare wangu kwenye moja na mbili π
Lete ilo Tumbua aisee nani alale sahii huku Tumbua la motomoto lipo πAngalizo: Sihitaji ushauri wa kiafya kuhusu kuchelewa kula; Asante!
CC: Harmful , makaveli10 , secretarybird
ππππ jamaniiiiiBagia π€€π€€π hebu huko usinipe hamu mpya.
Ba tamu ndiyo yule yule huwa anakutag tag humu πππ
Mikasa gani?