Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #41
Kiombe kwa kubembeleza, ule utamu hauhitaji papara na mabavu.Apo chacha, nipe hints hizo nipate kile kizuri zaidi....mafuta sio mengi sana ila kina nyama na kitamuu
Kiombe kwa kubembeleza, ule utamu hauhitaji papara na mabavu.Apo chacha, nipe hints hizo nipate kile kizuri zaidi....mafuta sio mengi sana ila kina nyama na kitamuu
Kwanini unavipenda hivyo zaidi?Shakula tayari, vitumbua vya kinyanwezi vitamu kuliko vya Kizaramo(Dar).
Jilie mwaya ☺️Nakitafuna hapa kipenzi, mafuta yote niache, napenda kitumbua🥰
Mno sana yaani.Kwanini unavipenda hivyo zaidi?
Karibu nyumbani, ukishafika kanda ya ziwa ndiyo utaelewa kwanini tunaongoza kwa kuolewa 😅 wanasemaga ni heshima ila wanazuga, tunasifika kwa pishi la usiku, vitumbua vitamu hatari.Mno sana yaani.
Yupiii?? 😂😂😂Kwani uongo?
1. Dog styleUsiku huu hapakaliki wala wala hapalaliki kila nikijaribu kupumzika nashindwa kisa hamu ya kitumbua. Kuna hamu ya kawaida halafu kuna ile ambayo mie inanishika nikikitaka kitumbua.
Saa tano hii nimeanza kuvipika 😎😅
- Vipi wewe hamu ya kitu gani ikikukaba haitulii mpaka upate kile kitu nafsi inataka?
- Na kwanini mpaka muda huu hujalala?
View attachment 3518839
Kanda ya ziwa ni kubwa, specify eneo akiyamungu! 😋Karibu nyumbani, ukishafika kanda ya ziwa ndiyo utaelewa kwanini tunaongoza kwa kuolewa 😅 wanasemaga ni heshima ila wanazuga, tunasifika kwa pishi la usiku, vitumbua vitamu hatari.
Unaichapa huku unaandika reply JF?1. Dog style
2. Naichapaa hapa
Yote tu ila Ondoa Kagera, hao zio wenzetu 😅Kanda ya ziwa ni kubwa, specify eneo akiyamungu! 😋
Umekula kitumbua leo?nkajua unamaanisha kitumbua kumbe ni kitumbua
Tuseme Musoma?Yote tu ila Ondoa Kagera, hao zio wenzetu 😅
Ngoja nikuitie mashemeji zako waone unavyomkana ndugu yao 😂Yupiii?? 😂😂😂
Natafuna chamoto,asante mammy umenifanya nisilale sa hiiJilie mwaya ☺️
Na hiyo Mara yote ondoa 😂😂Tuseme Musoma?
Chakata kitumbua laini laini hicho, ukikishushia tui la nazi hapo ndiyo unakua umeshibaaaaa!Natafuna chamoto,asante mammy umenifanya nisilale sa hii
Em niitiee, 😂😂😂😂Ngoja nikuitie mashemeji zako waone unavyomkana ndugu yao 😂
Ukiitaja Mwanza ntakataa.Na hiyo Mara yote ondoa 😂😂
Sijaitaja 🤣Ukiitaja Mwanza ntakataa.