Pishi la usiku wa manane: Nimepata hamu ya kitumbua kilichojaa mafuta

Pishi la usiku wa manane: Nimepata hamu ya kitumbua kilichojaa mafuta

Angalizo: Sihitaji ushauri wa kiafya kuhusu kuchelewa kula; Asante!

CC: Harmful , makaveli10 , secretarybird
Mkuu ninyi wasomi ni watu wa kuogopwa kama ukoma.

Twaweza katisha usingizi kuanza kujadili mambo ya mapishi ya vitumbua hapa, kumbe likawa ni shairi umetunga na kulitupia kilingeni waerevu wajifurahishe, maana andishi lako limepita 'mulemule' dadeki!

Ukiwa umetufanyia hivyo mi takulaumu sana.

Mungu vile.
 
Code nyepesi hii
Happy Hour Drinking GIF.gif
 
Kuna hamu na njaa ya kawaida halafu kuna njaa yangu mie nikipata hamu ya kula vitumbua.
Usiku huu hapakaliki wala wala hapalaliki kila nikijaribu kupumzika nashindwa kisa hamu ya kitumbua.

Saa tano hii nimeanza kupika vitumbua 😎😅
  1. Vipi wewe hamu ya kitu gani ikikukaba haitulii mpaka upate kile kitu nafsi inataka?
  2. Na kwanini mpaka muda huu hujalala?



View attachment 3518839
Nmekiomba tangu sa4 usiku huu, mbaka sasa bila bila...
 
Mkuu ninyi wasomi ni watu wa kuogopwa kama ukoma.

Twaweza katisha usingizi kuanza kujadili mambo ya mapishi ya vitumbua hapa, kumbe likawa ni shairi umetunga na kulitupia kilingeni waerevu wajifurahishe, maana andishi lako limepita 'mulemule' dadeki!

Ukiwa umetufanyia hivyo mi takulaumu sana.

Mungu vile.
Manano mengi, jibu swali la msingi: Vipi leo umekula kitumbua cha moto moto?
 
Back
Top Bottom