Pishi la usiku wa manane: Nimepata hamu ya kitumbua kilichojaa mafuta

Naizamia Kwa chini kabisaaa
Bado mpaka uanze kugeuza vimacho ndiyo utasema kweli kitumbua kitamu 😅😅
200.gif
 
Sijalala napiga hesabu za wiki nzima.
Halafu kuna kibaka ananipanga kwenye simu ananiletea kuchi kuchi hotae mwana hip hop hata hatuelewani 😹😹

Anasema basi nijitahidi kuwa na haiba kama mwanamke kwanini namjibu dry 😹🚮
 
Bado hajasema huyo, labda ajaribu kukutunishia pochi aone kama utasoftika 😅
 
Anajichosha, nikikumbuka MO29 nyege zote zinakata…!!
Mtu akiniletea story za mapenzi namuona km punguani.

Huyo shem wako nimempa kibuti sitaki hata kumuona. Na hivi mbogamboga ndo ananitia hasira km nimtapike..!! 🤮🚮
 
Ila MO29 kweli ilikujeruhi, sasa tufanyaje urudi kua sawa, hata ukimuona mkaka mzuri kama yule mjeda atleast kitumbua kishtuke kidogo.
Huyo shem wako nimempa kibuti sitaki hata kumuona. Na hivi mbogamboga ndo ananitia hasira km nimtapike..!! 🤮🚮
Kama ni mbogamboga anastahili kibuti 🚮, ila ukijipatia limzee kama ERoni linajitambua na liko romantic, nahisi utakaa sawa tu!
 
Anajichosha, nikikumbuka MO29 nyege zote zinakata…!!
Mtu akiniletea story za mapenzi namuona km punguani.

Huyo shem wako nimempa kibuti sitaki hata kumuona. Na hivi mbogamboga ndo ananitia hasira km nimtapike..!! 🤮🚮
Mkuu usitumie mbinu za ukali 'kupiga kibuti' mtu, tumia siasa.

Mi shapigwa kibuti cha kisomi hadi nikakodi gari la kumbebea mizigo mtu kwa gharama zangu, kumbe nd'o nabwagwa!
 
Back
Top Bottom