Pishi la usiku wa manane: Nimepata hamu ya kitumbua kilichojaa mafuta

Pishi la usiku wa manane: Nimepata hamu ya kitumbua kilichojaa mafuta

Ila MO29 kweli ilikujeruhi, sasa tufanyaje urudi kua sawa, hata ukimuona mkaka mzuri kama yule mjeda atleast kitumbua kishtuke kidogo.
Kile kitu hakiwezi kufutika kamwe akilini mwangu, hisia zimegoma hata nikijitahidi kuzivuta wanaume wote nawaona wahaini😹😹
Kama ni mbogamboga anastahili kibuti 🚮, ila ukijipatia limzee kama @ERoni linajitambua na liko romantic, nahisi utakaa sawa tu!
Wazee tena? 😹
Halafu kwann umenikomalia na mfano wako wa Eroni??
Huyo anakufaa wewe mpe nafasi mtushangaze waungwana 😹😹😹
 
Mkuu usitumie mbinu za ukali 'kupiga kibuti' mtu, tumia siasa.

Mi shapigwa kibuti cha kisomi hadi nikakodi gari la kumbebea mizigo mtu kwa gharama zangu, kumbe nd'o nabwagwa!
Mkuu mimi sina konakona niko nje ya muda
White white, Black black. Hapo sasa utajua mwenyewe utumie maji kuoga au usonge ugali ule ushibe..!!
 
Kile kitu hakiwezi kufutika kamwe akilini mwangu, hisia zimegoma hata nikijitahidi kuzivuta wanaume wote nawaona waahini 😹😹
Eti wahaini 🤣 🤣 🤣
Wazee tena? 😹
Hapana huyu kijana wa zamani, hajazeeka bado 😹
Halafu kwann umenikomalia na mfano wako wa Eroni??
Ana ka-mke kadogo humu kanaitwa Atoto huwa napenda tu kukachangamsha, kakute mzee wake katajwa kajisikie wivu.
Huyo anakufaa wewe mpe nafasi mtushangaze waungwana 😹😹😹
Huyu nitamchosha, hawachelewagi kuteguka migongo hawa.
Mi acha niendelee kumzoom yule wa kule chemba 😂
 
😹😹😹 Ukute sasa anayo makubwa km ya sokwe unayabinya mpaka atoke machozi..!!
Makubwa kama ya sokwe we uliyaonea wapi 🤣🤣🤣

200.gif

makaveli10 hebu njoo utoe maelezo 😅
 
1. Bagia, nikipatwa na hamu ya hiki kitu siwezi tulia hadi nipate na nile, ntafanya vyovyote lazima nipike.
Uzuri ingredients huwa nakua nazo ndani, kuna siku niliandaa na kupika SAA 9 usiku.
😂😂😂😂😂

2. Sijalala, nachati na Ba tamu, huku naperuzika chimbo nasoma mikasa ya vidampa, mie hoi.
😂😂😂😂😂
Muunde tu kikundi cha kupika na Mwachiluwi
 
Back
Top Bottom