Extra focus
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 662
- 1,297
Mkuu kitumbua kina hali gani mida hii?Usiku huu hapakaliki wala hapalaliki kila nikijaribu kupumzika nashindwa kisa hamu ya kitumbua.
Kuna hamu ya kawaida halafu kuna ile ambayo mie inanishika nikikitaka kitumbua.
Saa tano hii nimeanza kuvipika 😎😅
- Vipi wewe hamu ya kitu gani ikikukaba haitulii mpaka upate kile kitu nafsi inataka?
- Na kwanini mpaka muda huu hujalala?