Pishi la usiku wa manane: Nimepata hamu ya kitumbua kilichojaa mafuta

Pishi la usiku wa manane: Nimepata hamu ya kitumbua kilichojaa mafuta

Ila MO29 kweli ilikujeruhi, sasa tufanyaje urudi kua sawa, hata ukimuona mkaka mzuri kama yule mjeda atleast kitumbua kishtuke kidogo.

Kama ni mbogamboga anastahili kibuti 🚮, ila ukijipatia limzee kama ERoni linajitambua na liko romantic, nahisi utakaa sawa tu!
Huyu kitumbua chake ili kiwe na mafuta ni kazi sana, mimi nataka "ready-made ", sitaki mtu anawaza mkopo nmb, crdb mara anawaza Mo29..😅😅😅
 
Kile kitu hakiwezi kufutika kamwe akilini mwangu, hisia zimegoma hata nikijitahidi kuzivuta wanaume wote nawaona wahaini😹😹

Wazee tena? 😹
Halafu kwann umenikomalia na mfano wako wa Eroni??
Huyo anakufaa wewe mpe nafasi mtushangaze waungwana 😹😹😹
Anataka unipe utamu, kwani kuna shida?😅😅
 
Huyu kitumbua chake ili kiwe na mafuta ni kazi sana, mimi nataka "ready-made ", sitaki mtu anawaza mkopo nmb, crdb mara anawaza Mo29..😅😅😅
Umegonga mule mule yaani nna limkopo Nmb na hizi ndo tarehe zao za kunyofoa mpunga wao kwenye account yangu dah! 😥🥹

Kweli mimi sihitaji mpenzi wala mapenzi, utelezi umekata kabisa. Nyie endeleeni kufaidi 😹😹
 
Mkuu mimi sina konakona niko nje ya muda
White white, Black black. Hapo sasa utajua mwenyewe utumie maji kuoga au usonge ugali ule ushibe..!!
Sema na uzee unatuheshimisha huu!

Enzi zetu kukataliwa ilikuwa ni 'kesi nyingine'.

Na tulifundishwa kuwa mwanamke mgumu, mkali mkali ndiyo mali.

Sasa nikija ukantukana, sijui kunifokea, akili zinanipeleka na kunipeleka mbuga za wanyama na kuwaza: mbona ngiri ama swala wana mapembe makali lakini hayawasaidii linapofika suala la kuliwa, napata ujasiri na ari ya kutokukukatia tamaa.
 
Tumefanywa baraka ya kipekee, vituko ambavyo nimeshaviona mbela ya kitumbua, nikisimulia humu watu watasema chai 😂 😂
Teh teh teh😃😄😁🤣

Hilo nalo neno, eeh wengine wanatafuna kitumbua mdomo ukiwa wazi na udenda unachruzika wanashindwa kujicontrol!

Mkuu haiwezi kuwa chai, vituko mbona ni vingi sana, wee simulia tu.
 
Back
Top Bottom