Pishi la usiku wa manane: Nimepata hamu ya kitumbua kilichojaa mafuta

Kiukweli hiyo ni 'sanaa' ya ajabu sana kwa kweli.

Kuna siku kuna mpishi (mdada) mmoja, nilihisi kama anajilengesha, lakini huenda nilikosea mahesabu ikawa ni tofauti.

Mi'humalizwa akili zangu na vituko vya mwanamke na yeye alinifanyia nikajaa, nikamtupia ndoano akapisha chambo, ndipo aliponivuruga mie.

Nikapiga mahesabu: huyu nimhonge, nimpige dawa au nimtishe ili aingie kingi?

Maana nilikuwaga sikubali kukataliwa

La kumtisha likapita!

Nikamtafutia angle ambayo niliona inafaa nikamtongoza, sindiyo akaanza matusi yake ya nguoni?

Nikaona hii ndiyo fursa niitumie, hapohapo nikaweka mazingira ya onlookers kuwa mashahidi, jambo nikalisongesha kwa mwenyekiti.

Kufika nikaomba shauri hilo lipelekwe Kata, kufika Kata nakataa suluhu nikaomba barua kwenda mahakamani na nikapewa!

Hapo hapo kabla ya kwenda mahakamani nikatengeneza mamluki ili wakamtishe:
'... Binti hivi wazazi wako hawakutegemei?
Kwa kesi hii hauchomoi, maana jamaa linajuana na mahakimu ukifika hata kama una wakili utafungwa tuu, halafu jamaa ni chawi sana hili, usipofungwa, linakuroga, lakini kwanini usimuombe tu msamaha, maana hakuna asiyemjua jamaa kwa uchawi....'

Binti akatuma wa kumuombea msamaha, nikakataa kwa madai kuwa msamaha hauwezi kuombwa na mtu asiyenikosea, hivyo aje mwenyewe kama ni kweli, vinginevyo kesho mi naenda mahakamani.

Akaona sasa issue ishakuwa kubwa hii.

Akaja na kuanza kuomba msamaha, kimoyomoyo najisemea 'huyu kaingia kwenye 18 zangu, leo namuua'.

Kumbe nadhiri hii ni sumu mbaya sana ya kisaikolojia.

'Oooh samahani nilighafirika tu kukujibu hivyo jamani, kwa hiyo naomba yaishe tusifike huko!'

Nikamwambia: 'sikia shatupa gharama zangu sana apo, sasa jambo hili tunalimalizaje unadhani?

Akanijibu: 'ni wewe tu sasa'.

Nikamwambia: 'andaa wewe mwenyewe mazingira ya kulimaliza kabisa hili jambo ili kila mtu asikae na kinyongo kama ni kusameheana kweli. '

Akaniahidi atakuja saa2 usiku kuifuta kesi😄😄😁.

Sasa huku nyuma alivyoondoka, nikaanza kumkamia ili kumkomoa na maringo yake!

Sasa tunaenda kwenye kituko:
Binti wa watu kaja on time moja kwa moja kwenye 'meza' ya chakula!

Mkuu ushaona namna dume la bata linavyohangaika kuupanda mlima, ndiyo hali hiyo ilinipata mimi siku hiyo?
Over expectiatios sijui pamoja na kukamia sana, jongoo likakataa kata kata kuupanda mtungi, kila likipanda, linateleza linadondoka chini chali!

Akaniuliza 'sasa tunafanyaje'?

Kesi inataka kufutwa, na cha kufutia kesi hakifanyi kazi!

Kilichoendelea hapo hadithi ni ndefu na ndiye mke niliye naye leo.
Umetukatili kuishia njiani, hebu malizia nini kiliendelea😅

200.gif

Ila wanaume mnapitia misukosuko 🤣🤣🤣 yani hadi ukamtengenezea kesi mdada wa watu na akakupa kitumbua ukashindwa kukila.

Ila nahisi alikuvumilia na kukutunzia heshima yako mpaka ukamuoa.
 
Kiukweli hiyo ni 'sanaa' ya ajabu sana kwa kweli.

Kuna siku kuna mpishi (mdada) mmoja, nilihisi kama anajilengesha, lakini huenda nilikosea mahesabu ikawa ni tofauti.

Mi'humalizwa akili zangu na vituko vya mwanamke na yeye alinifanyia nikajaa, nikamtupia ndoano akapisha chambo, ndipo aliponivuruga mie.

Nikapiga mahesabu: huyu nimhonge, nimpige dawa au nimtishe ili aingie kingi?

Maana nilikuwaga sikubali kukataliwa

La kumtisha likapita!

Nikamtafutia angle ambayo niliona inafaa nikamtongoza, sindiyo akaanza matusi yake ya nguoni?

Nikaona hii ndiyo fursa niitumie, hapohapo nikaweka mazingira ya onlookers kuwa mashahidi, jambo nikalisongesha kwa mwenyekiti.

Kufika nikaomba shauri hilo lipelekwe Kata, kufika Kata nakataa suluhu nikaomba barua kwenda mahakamani na nikapewa!

Hapo hapo kabla ya kwenda mahakamani nikatengeneza mamluki ili wakamtishe:
'... Binti hivi wazazi wako hawakutegemei?
Kwa kesi hii hauchomoi, maana jamaa linajuana na mahakimu ukifika hata kama una wakili utafungwa tuu, halafu jamaa ni chawi sana hili, usipofungwa, linakuroga, lakini kwanini usimuombe tu msamaha, maana hakuna asiyemjua jamaa kwa uchawi....'

Binti akatuma wa kumuombea msamaha, nikakataa kwa madai kuwa msamaha hauwezi kuombwa na mtu asiyenikosea, hivyo aje mwenyewe kama ni kweli, vinginevyo kesho mi naenda mahakamani.

Akaona sasa issue ishakuwa kubwa hii.

Akaja na kuanza kuomba msamaha, kimoyomoyo najisemea 'huyu kaingia kwenye 18 zangu, leo namuua'.

Kumbe nadhiri hii ni sumu mbaya sana ya kisaikolojia.

'Oooh samahani nilighafirika tu kukujibu hivyo jamani, kwa hiyo naomba yaishe tusifike huko!'

Nikamwambia: 'sikia shatupa gharama zangu sana apo, sasa jambo hili tunalimalizaje unadhani?

Akanijibu: 'ni wewe tu sasa'.

Nikamwambia: 'andaa wewe mwenyewe mazingira ya kulimaliza kabisa hili jambo ili kila mtu asikae na kinyongo kama ni kusameheana kweli. '

Akaniahidi atakuja saa2 usiku kuifuta kesi😄😄😁.

Sasa huku nyuma alivyoondoka, nikaanza kumkamia ili kumkomoa na maringo yake!

Sasa tunaenda kwenye kituko:
Binti wa watu kaja on time moja kwa moja kwenye 'meza' ya chakula!

Mkuu ushaona namna dume la bata linavyohangaika kuupanda mlima, ndiyo hali hiyo ilinipata mimi siku hiyo?
Over expectiatios sijui pamoja na kukamia sana, jongoo likakataa kata kata kuupanda mtungi, kila likipanda, linateleza linadondoka chini chali!

Akaniuliza 'sasa tunafanyaje'?

Kesi inataka kufutwa, na cha kufutia kesi hakifanyi kazi!

Kilichoendelea hapo hadithi ni ndefu na ndiye mke niliye naye leo.
Wengine majeuri hiyo kesi ungefuta wewe mbona..!! 😹😹😹

Halafu katika vitu siogopi mtu kunitishia uchawi au kujifanya yeye serikali yake tutakesha..!!
 
Back
Top Bottom