Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Punguza kulanashindwa kisa hamu ya kitumbua.
Punguza kulanashindwa kisa hamu ya kitumbua.
Maimae walahi. 🤣🤣🤣🤣
Iko hivi, sifa zote hizo mbovu za shari kiuhalisia sikuwa nazo na hata leo ila zile zilikuwa ni plan tu namna ya kumnasa.Wengine majeuri hiyo kesi ungefuta wewe mbona..!! 😹😹😹
Halafu katika vitu siogopi mtu kunitishia uchawi au kujifanya yeye serikali yake tutakesha..!!
😄😁😁🤣 baada ya kushindwa kula pishi lake nikammwagia lawama yeye mwenyewe kwamba ananiroga ili nimshindwe kwa hiyo tutaona!Umetukatili kuishia njiani, hebu malizia nini kiliendelea😅
View attachment 3519032
Ila wanaume mnapitia misukosuko 🤣🤣🤣 yani hadi ukamtengenezea kesi mdada wa watu na akakupa kitumbua ukashindwa kukila.
Ila nahisi alikuvumilia na kukutunzia heshima yako mpaka ukamuoa.
Hapo ulipenda hakukua na kukomesha!!Iko hivi, sifa zote hizo mbovu za shari kiuhalisia sikuwa nazo na hata leo ila zile zilikuwa ni plan tu namna ya kumnasa.
Yaani kubembeleza na kuhonga nd'o chaguo la kwanza, alafu mbinu zingine halali na haramu zinafuata baada ya kuona hii adhimu ikibhuma.
Huwaga ni ligi mkuu, unishinde ama nikushinde, lakini kwangu mimi ushindi huwa ni lazima.
Ujue nini, baadaye tukishasatle kuna furaha flani inakuja mnapoanza kumbushana stori za yaliyopita kwa kuulizana maswali ilikuwaje, mnajikuta tu mkifurahi zaidi.
Ninajua usipogangamala katika hatua za mwanzo, mtu unayempenda humpati hata kama anakupenda.
Sasa si mimi huyo nilifanikisha kwa ujanja huo na nikaona nikomeshee kwa kuoa kabisa, maana alivyokuwa na matusi na kashifa huyo msichana enzi hizo, wewe ukasome mkuu.
Umetukatili kuishia njiani, hebu malizia nini kiliendelea😅
View attachment 3519032
Ila wanaume mnapitia misukosuko 🤣🤣🤣 yani hadi ukamtengenezea kesi mdada wa watu na akakupa kitumbua ukashindwa kukila.
Ila nahisi alikuvumilia na kukutunzia heshima yako mpaka ukamuoa.
Hutukani mkuu, lakini kwa comments zako hizo, mtu akija kichwa kichwa bila plan 'B' anakimbia, mungu tena.Hapo ulipenda hakukua na kukomesha!!
Halafu mbona mi situkani kiongozi 😥
Utakua umenifananisha 😹
Nwei, Kwahiyo mpaka sasa hivi unaendelea kubembeleza na kuhonga? 😜😹
Nilishasema ushauri sitakiPunguza kula
Ule utamu, acha tu 😅, unaweza ukajiapiza kuacha ila ukikiona kitumbua mbele yako, huchomoi.Bora kuacha pombe, mbususu ni tamu sana.
Ila jamani hizi dawa za kutulombea sana za nini, mnataka muwe mnatufanya sana ili iweje ?Mim ninazo za kulombea tu mama antpass, kama angekuwa anapiga show mbovu hapo sawa ila amesema ameikamia kaichakata mpaka mshangaz haujielew
Kwanini amevaa suruali mbili?
Umeomba wapi msamaha?Kwahiyo ushanisamehe nije kula kitumbua tena
Tutaombana chumbani nije lin kul kitumbuaUmeomba wapi msamaha?
Bado nina hasira na wewe za kunikimbia, sikupi pishi languTutaombana chumbani nije lin kul kitumbua
Ila una visa 😂 kuna karaha kanakujaga kuona mtu aliyekukamia anashindwa mambo, hii ya kupanic au kumwaga fasta huwa inatokea.😄😁😁🤣 baada ya kushindwa kula pishi lake nikammwagia lawama yeye mwenyewe kwamba ananiroga ili nimshindwe kwa hiyo tutaona!
Akapanic na kuanza kujiapiza kuwa akiamungu siyo yeye, wakati huo mimi mwenyewe nikijitathimini kimoyomoyo imekuwaje hii?
Kukamia ni kubaya , eti fikra zangu niliziprogram kuwa kula chakula cha mwenye maringo na mtukanaji kwa rough ni kumkomeshq!
Kwahiyo ulivyoshindwa ukamuoa au binti maringo alikunogea, kitumbua kitamu 😅Baadaye nilikuja kuprove wrong, kwamba mbwembwe zako zote mtu uwezavyo kufanya, hazitoi maumivu katika jambo hilo kwa mlengwa bali humstarehesha na pia hauwezi kushindana na ulipotoka kisha ukashinda!