Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #221
Xiao qui shui anachambua siasa usimtoe kwenye reli 😅😅😅Xiao qui shui njoo umchukue muongo mwenzako!
Chochote nikitaka utanipa 😏 ☺️Binti wa zamani hebu acha masikhara nipo serious unatak kulishwa nini nikupe 😋
Muonee huruma Arteta 😁kuilaani arsenal mpaka Ashuk pale juu
Si tulikubaliana mke na Arsenal wanatolewa kwenye mkataba kaka😁Mkataba gani naheshimu ndoa yenu
Ndiyo we taja 😅Chochote nikitaka utanipa 😏 ☺️
Ongea na mkeo, kama ameridhia twende ukanipoze machungu ya jamaa yako, kaniumiza sana!mkataba bado upo 😁😎
😅😅😅arsenal umemuongeza na Nani kwenye mkataba me sikuwepo 🤣🤣🤣Muonee huruma Arteta 😁
Si tulikubaliana mke na Arsenal wanatolewa kwenye mkataba kaka
Hii kesi ishakuwa ngumu na log off Ongea na mkeo, kama ameridhia twende ukanipoze machungu ya jamaa yako, kaniumiza sana!
Njoo nikunong'oneze wengine wasisikieNdiyo we taja 😅
PM auNjoo nikunong'oneze wengine wasisikie
Chagua wewe, unataka nikunong'onezee wapi?PM au
Hahahahaha wacha weeeeeee hatari na nusu😂😂😉Xiao qui shui anachambua siasa usimtoe kwenye reli 😅😅😅
Binti wa zamani hebu acha masikhara nipo serious unatak kulishwa nini nikupe 😋
Kakudanganya nini tena honey wakoo🤣🤣Na honey umeanza kuniita 😅
Xiao qui shui njoo umchukue muongo mwenzako!
Acha uzembeee mkuu shenzPM au
Kwamba alisafiri wakati nilikua namuona humu anafanya ujinga ujinga tu 😅Kakudanganya nini tena honey wakoo🤣🤣
HahahaSawa lkn ujumbe uzingatiwe Alihamis mwagandaniView attachment 3518842