Pishi la usiku wa manane: Nimepata hamu ya kitumbua kilichojaa mafuta

Ndio mahi sitaki sup kwa shemejio 😹😹
Ukiona vituko vyangu nitakupa taharuki na najua wala hutovifanya, acha yabaki sirini tu.
Ila kule The shade room mna balaa na nduguyo si mfanye kweli lakini mahi? πŸ˜₯😹
Mi na ndugu yetu (usijitoe) purukushani tunazimudu.
Ila kumbe TSR unatusoma kimya kimya na huchangii chochote mpaka tunafikiri Shem kakuficha πŸ˜‚
 
Ukiona vituko vyangu nitakupa taharuki na najua wala hutovifanya, acha ibaki sirini tu.
Ntajaribu bana weka 😜😹
Mi na ndugu yetu (usijitoe) purukushani tunazimudu.
Ila kumbe TSR unatusoma kimya kimya na huchangii chochote mpaka tunafikiri Shem kakuficha πŸ˜‚
Nilisoma siku ile nilicheka yule mnyamwezi anavyokupanga 😹😹😹

Nasubiri niingie nikute jambo lishakamilika nichague team ya ushindi maana wote mko πŸ”₯
 
Ntajaribu bana weka 😜😹
Acha tuone πŸ˜…
Nilisoma siku ile nilicheka yule mnyamwezi anavyokupanga 😹😹😹
Utamuweza yule mnyamwezi, ila sijui kama kweli yaliyomo yamo πŸ˜‚
Nasubiri niingie nikute jambo lishakamilika nichague team ya ushindi maana wote mko πŸ”₯
Haaa haaaa, mi nachojua nikiingia ushindi lazima, afe kipa, afe beki 🀣 tutatoka kifua mbele πŸ˜…
 
Ila una visa πŸ˜‚ kuna karaha kanakujaga kuona mtu aliyekukamia anashindwa mambo, hii ya kupanic au kumwaga fasta huwa inatokea.

Kwahiyo ulivyoshindwa ukamuoa au binti maringo alikunogea, kitumbua kitamu πŸ˜…
Nilimuoa.

Kusimulia 'nilivyoweza' ndiyo'apo naona aibu mimi! :

Kifupi mkuu ni kesho yake tu aliniletea sinia zima nikala, yeye akapenda mteja kwa 'kumuunga' vizuri biashara yake nami nikapenda mapishi, process ikaanza!

Tulipokuja kutulia nd'oakaja kunambia kwamba alikuwa anajijua ye'ni mzuri, hata angemtukana mtu lazima angelimbembeleza tu.

Kumuuliza kuwa alijuaje ka'yeye ni mzuri, akanambia ni kwa sababu mama'ke alimkata kitovu vizuri!

Wee fikiria mkuu, katika hali ya kawaida waweza pokea rushwa ukaifurahia hadi ukatoa machozi?

Ndiyo mimi sasa mtu mzima kulizwa na mtoto mdogo!

Tuseme, naye alikuwa kapania tu kunikomesha ili nisiendelee kumfuata fuata na kumzulia mabalaa, alijipanga kuzishinda mechi zake.
Lakini, kisaikolojia maringo yake yaleee, yaliendekea kubakia kichwani mwangu, ndiyo yameishepu sura ya ndoa yetu ilivyo leo!
Maana alikuwa kila akigeuka fimbo!
Kwa nje naonekana nampenda sana, lakini kiundani moyoni mwangu ninakuwa na usongo wa kukomesha kabisa maringo yake yasiweze kujirudia tena!

Kwa matokeo hayo, tuna msururu wa watoto, ni balaa!

Ni 'bandika bandua', hadi mwenyewe sasa nilivyoona inatosha, nisijemuua kweli wacha nimpumzishe.
 
Ba tamu anapakua mtaro??
 
Uzi umekaa kimalaya malaya kwa kuwa uneandikwa na malaya,yaani we malaya unavyopenda kukazwa unatamani midudu iwe inakuingia kwa masaa yote 24
 
Wahenga hawaamini mpaka watoke mbio sio kwa lugha hizo aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…