44mg44
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 2,158
- 2,186
Nauliza hivyo kwa sabab zifuatazo:
1. Pisi Kali wengi hawaolewi
2. Pisi Kali wengi wanapata wanaume wahuni wahuni tu ambao hawana nia ya kuoa
3. Pisi Kali wengi wanaishia kupigwa mimba tu bila ndoa za kueleweka.
Sasa kama wewe ni pisi kali na unajitambua kwanini usiolewe na mwanaume anaeleweka na ukaish kwa heshima? Badala yake mnaishia kuzarishwa na kubaki kuuza migahawa na kuwa bar maid.
Nawakaribisha njooni tuchangie mawazo juu ya hili suala. Ukifanya uchunguzi utaona kwamba Mama Ntilie weng ni wanawake wazuri kimuonekano lakini tunashangaa kwanini hawako kwenye ndoa, badala yake wameishia kuzarishwa tu.
Karibuni wadau