ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Pisi kali pako jichoni mwa mtuHapana nimeajiaassess nimejijua sina hizo sifa🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pisi kali pako jichoni mwa mtuHapana nimeajiaassess nimejijua sina hizo sifa🤔
Nitumie picha yako inbox/PM, haki ya Mungu sitai expose kwa wadau nataka ni confirm tu na mimi huwa najuliza kwa profile niww au afu nakaa na siri angu moyoni.No si yangu hiyo
Why nitume picha mkuu, niamini huyo siye mimi 🤗Nitumie picha yako inbox/PM, haki ya Mungu sitai expose kwa wadau nataka ni confirm tu na mimi huwa najuliza kwa profile niww au.
Dis Guy iz Among Of Singo Maza Prodyuzas.Pisi kali kabla hatujaikojolea.. tukishusha wazungu na simu hatupokei.
Kuoa... Kama mjumbe wa kamati ya wanaume wa hovyo. Kwenye katiba yetu ya chama hatuna kifungu hicho.
Basi crop picha sura isionekane utume kuanzia kifuani mpaka miguu [emoji4] ntakupa majibu huko huko..Why nitume picha mkuu, niamini huyo siye mimi [emoji847]
Why all that mkuu? Ili tu ujue kama ni pisi kali au mbovu? Nishajijua ni pisi mbovu haina haja ya picha mkuuBasi crop picha sura isionekane utume kuanzia kifuani mpaka miguu [emoji4] ntakupa majibu huko huko..
All the bestWew inaonekana ni pis Kali,Ngoja ntumie mbinu zangu mpaka nkujue phisically,nkikuta ni pis Kali ntakutunuku mkuu
Kama iyo avatar ni yako, jihesabu ni pisi kali.Tunaovaa size 42, wakondefu ni pisi mbovu ama😂
Kama iyo avatar ni yako, jihesabu ni pisi kali.
Hapana si mimi na wala sielekeani nayo mkuu🤔
Hata ukivaa size 45, a true gentleman akishakuzimia hatazingatia hayo.Tunaovaa size 42, wakondefu ni pisi mbovu ama😂
Thank you atleast umetufariji na sisi wabovu😂Hata ukivaa size 45, a true gentleman akishakuzimia hatazingatia hayo.
😂😂😂 Hamna kitu kama hicho. Nimeshakutana na snap zako kule selfika, mbona unaonekana ni mwanamke classic kabisa, huo ubovu sikuuona kabisa, kwa sababu nilivyokuona ulikuwa chuma haswa cha kuvisha pete na kuweka ndani.Thank you atleast umetufariji na sisi wabovu😂
Usidanganyike na snaps mkuu huwa tunapick picha zilizotokea vizurii tunaplus editing before kupost ujue😂😂😂😂 Hamna kitu kama hicho. Nimeshakutana na snap zako kule selfika, mbona unaonekana ni mwanamke classic kabisa, huo ubovu sikuuona kabisa, kwa sababu nilivyokuona ulikuwa chuma haswa cha kuvisha pete na kuweka ndani.
Si kweli mkuu. Mtoto wa watu umekaa ki wife material kabisa halafu unataka kunidanganya?Usidanganyike na snaps mkuu huwa tunapick picha zilizotokea vizurii tunaplus editing before kupost ujue😂
Dah thank you mkuu, but why unanibishia wife material 😂 am not kabisaSi kweli mkuu. Mtoto wa watu umekaa ki wife material kabisa halafu unataka kunidanganya?
Naamini hata aliye moyoni mwako haachi kukusifia kwa urembo wako. Vijana wa mjini ndiyo wanaita pisi kali.