Pisi kali huwa mnajitambua kuwa nyinyi ni pisi kali?

Pisi kali huwa mnajitambua kuwa nyinyi ni pisi kali?

,
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Hapa kunatatizo
Kuna pisi imekuzingua mkuu hapo mjini Nini?
Sisi huku vijijini pisikali Ni mwanamke mweupe + wesele wesele+ sura mashallah
emoji125.png
emoji125.png
[emoji12

Thigth gap[emoji23][emoji23] watamu balaaa!
Umeona ee
 
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa kunatatizo
Kuna pisi imekuzingua mkuu hapo mjini Nini?
Sisi huku vijijini pisikali Ni mwanamke mweupe + wesele wesele+ sura mashallah[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hapana sijazinguliwa na pis Kali mkuu,nafanya utaft tu nijue ukweli kuhusu pis kali
 
Mkuu hao ni vipuli vya dhahabu vilivyo kwenye pua ya nguruwe .....waache waendelee kugaragazwa kwenye matope [emoji1][emoji1][emoji1] japo wao wanasema eti wanapendwa hakuna mwanaume anae weza kuchomoa kwao...... Nina Dada zangu wengi Sana type hiyo maisha yamewapiga saizi wanamiliki vigrosary ila kwa grafu iliopo naona wanazidi kushuka chini Sasa sijui watadondokea wapi sijui kwenye pombe za kienyeji sijui wapi....?
 
Umeongea point Sana mkuu,yaan hawa pis Kali weng wao wanazeeka wakiwa na maisha mabaya Sana,maana kipnd Cha ujana wao wanachezewagwa Sana na wanaume mpaka wanakosa direction na wakielekea kuzeeka wanaachwa solemba
 
Naona wewe unajikubali ndiyo maana umeweka hiyo sura yako ya herufi🤭 do you know the meaning of anonymity? Si kwamba watu hawajikubali.
Naona hutak tukujue Kama wew ni pis Kali au ya kawaida,,,,,Faida ya kuwa pis Kali ni kwamba huwez ukaachwa na mwanaume Ila wew ndo utawaacha,,,,ingawa wew Kuna kipnd ulikuwa unalalama kuhus kupgwa chin na me
 
Back
Top Bottom