Pisi Kali kwa hapa kishiri-mwanza zinapatikana wapi??

Pisi Kali kwa hapa kishiri-mwanza zinapatikana wapi??

Habari ya muda huu wakuu, nimefika mwanza kutoka dsm jiji limepoa sana, nipo kishiri nazunguka zunguka kucheck pisi za kisukuma lkn sijabahatika kbs , kwa anaejua maeneo mazuri kwa hapa kishiri atwambie.
Aisee vumbi sana kama kigoma🤣🤣🤣🤣
Sogea chadema hapo zipo nyingi
 
Habari ya muda huu wakuu, nimefika mwanza kutoka dsm jiji limepoa sana, nipo kishiri nazunguka zunguka kucheck pisi za kisukuma lkn sijabahatika kbs , kwa anaejua maeneo mazuri kwa hapa kishiri atwambie.
Aisee vumbi sana kama kigoma🤣🤣🤣🤣
Hatujui
 
Mm nataka pisi sio malaya
Bro kwa haraka haraka leo hii hii kupata pisi uwongo.

Ww tafuta Malaya iliyonyooka na enjoy Maisha.

Unaweza tafuta unayoiita wewe pisi alaf ukasahau kuvaa Condom kwa kujiaminisha alaf ukanasa.
Bora ujue moja kuwa unataka Kiburudisho.

Wewe nenda bar kaa , kula , kunywa Kimea na tulia . Utapata tu Lose Ball..
Usiwe na mapepe.
Ila pia Condom muhimu
 
Back
Top Bottom