Pisi kali za Mjini unalisha na kuivalisha lakini bado inakuona we ni Mshamba tu.

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Nawasashuri tu vijana mnaojitafuta msidhani kwamba ukimpa kila kitu Pisi kali ya mjini ndio inakukubali.

Ikikaa pembeni na mashoga zake inakusema we ni Mshamba tu.

Sasa unakuwaje mshamba wakati wewe ndio unamlipia Kula, kulala na hadi kuvaa?

Tembea uone vichekesho.

Fanya mambo yako ewe kijana unayejitafuta usihadaike na vimeneno vya I love you Baby.
 
We wa wapi bado unateswa na wanawake karne hii?
 
Nawasashuri tu vijana mnaojitafuta msidhani kwamba ukimpa kila kitu Pisi kali ya mjini ndio inakukubali.

Ikikaa pembeni na mashoga zake inakusema we ni Mshamba tu.

Sasa unakuwaje mshamba wakati wewe ndio unamlipia Kula, kulala na hadi kuvaa?

Tembea uone vichekesho.

Fanya mambo yako ewe kijana unayejitafuta usihadaike na vimeneno vya I love you Baby.
Pole sana.
 
Sio pisi kali MTU yeyote hata angekuwa wa kiume bado kumlipia bills zake Kama chakula ,mavazi n.k haimfanyi akupende.

Binadamu yeyote hupendwa Sana na kuwa na Mvuto anapofika hatua ya kumuongezea thamani binadamu mwenzake na sio mambo ma do go Kama basic needs.
 
Back
Top Bottom