Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
We wa wapi bado unateswa na wanawake karne hii?Nawasashuri tu vijana mnaojitafuta msidhani kwamba ukimpa kila kitu Pisi kali ya mjini ndio inakukubali.
Ikikaa pembeni na mashoga zake inakusema we ni Mshamba tu.
Sasa unakuwaje mshamba wakati wewe ndio unamlipia Kula, kulala na hadi kuvaa?
Tembea uone vichekesho.
Fanya mambo yako ewe kijana unayejitafuta usihadaike na vimeneno vya I love you Baby.
Pisi za mjini kakaWe wa wapi bado unateswa na wanawake karne hii?
HahahMshamba yeye anayenipa majukumu ya baba yake
Sanaaa.....unatishaHuu ujumbe unaogopesha mdogo Angu
HahahHata kama ninapigwa, their love is so sweet. Hakuna mapenzi ya kweli sikuhizi tuigiziane wote tu.
Pole sana.Nawasashuri tu vijana mnaojitafuta msidhani kwamba ukimpa kila kitu Pisi kali ya mjini ndio inakukubali.
Ikikaa pembeni na mashoga zake inakusema we ni Mshamba tu.
Sasa unakuwaje mshamba wakati wewe ndio unamlipia Kula, kulala na hadi kuvaa?
Tembea uone vichekesho.
Fanya mambo yako ewe kijana unayejitafuta usihadaike na vimeneno vya I love you Baby.
Haha....duniaHalafu kuna muhuni mmoja hatoi hata shilingi kumi na anashare yake, kupiti ile hela anaye hongwa binti.