Pisi kali za mtaani kwetu zimenishinda zinataka cent, vipi za mtaani kwenu?

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,824
Reaction score
4,447


 

Attachments

  • Kisa-Kababy-ft-Man-Fongo--PISI-KALI-420x330.jpg
    8.7 KB · Views: 9
  • DwXiEqJWkAANI25.jpg
    25.6 KB · Views: 9
Katika umri huo wa kusubiri michongo.
Ukikisikiliza hicho kichwa cha chini a.k.a Abdullah kichwawazi jiandae kuzeeka kifukara
 
Huu mwandiko wa wale madogo wanaovaa soksi sendo na kibukta fulani hivii kifupi na leso imening'inia kama sio nyuma ya mfuko (makalioni)

Harafu tabia nyingine ya watu wenye huu mwandiko wanapenda sana chips, wakiwa kibandani utasikia
"kiongozi isikauke sana, weka kila kitu kasoro kachumbari, nyanya zenu hamjazichemsha mtanipa bakteria bure"

Kwa mwendo huo, pisi kali huziwezi dogo
 
Katika umri huo wa kusubiri michongo.
Ukikisikiliza hicho kichwa cha chini a.k.a Abdullah kichwawazi jiandae kuzeeka kifukara
Ssa mpaka kuzeeka leo mkuu!
Kula ujana huo acha uoga, utakosa cha kuwasimulia wajukuzo
 
Mkuu inavyoonesha pisi kali zinakupuna sana
 
We huna hela unawataka wa nn unakata kumnunulia ped unataka atoe wap hela wakat umeshajikabidhisha we jamaa vp ww unataka umgonge ww then ahudumie mwingine mwisho wa siku ukiachwa unakuja kulialia apa
 
Nenda fb kwa watoto wenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…