Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaaah shemejiiii...Aarrggh mada zilezile!!!,
Mkuu inavyoonesha pisi kali zinakupuna sanaHuu mwandiko wa wale madogo wanaovaa soksi sendo na kibukta fulani hivii kifupi na leso imening'inia kama sio nyuma ya mfuko (makalioni)
Harafu tabia nyingine ya watu wenye huu mwandiko wanapenda sana chips, wakiwa kibandani utasikia
"kiongozi isikauke sana, weka kila kitu kasoro kachumbari, nyanya zenu hamjazichemsha mtaniba bakteria bure"
Kwa mwendo huo, pisi kali huziwezi dogo
Nenda fb kwa watoto wenzakoHabari zenu mabroh, masista, mashangazi, mabibi, mababu wanajamii forum wote kwa ujumla.
Moja kwa moja ktk mada.
Nimejaribu sana kuwa na maneno matamu na yenye mvuto kwa dada zetu lkn hatimae wanahitaj cent, nimewacklizisha sana ngoma za mboso na shaarukhan lkn mwish wa cku break up.
Chaajab na kinachoshangaza bad wanaish nyumban (kwa baba na mama) me unaniomba cent nilioipambania mchana kutwa we ya nini? Ukzngatia unalishwa unavishwa.
Utaskia oh hela ya pedi, cjui naomba zawad.
Duh! nmeamin sabab za umaskin pia ktk nchi yet pisi kali znahusika
Vp wakuu pande zenu vlevle wa moto au wamepoa, kama wamepoa kdg ck mojamoja tubadil upepo View attachment 1842457
View attachment 1842439