Pisi kali zilikuwa zinanifilisi

Pisi kali zilikuwa zinanifilisi

Leo nimejaribu kukagua nguo zangu zote, karibia robo tatu zimepauka na zimepoteza mng'ao wake; nikawa najiuliza, hivi ni mimi equation x ndio huwa navaa haya mavazi?

Ama kweli, pisi kali zinatufilisi sana; tunajikuta tunahonga sana na kusahau kupendezesha miili yetu.

Nilikuwa najiuliza, kwa nini warembo wengi wanakuwa wana ning'ang'ania ng'ang'ania, mbaya zaidi hawaniletei zawadi za mavazi wala nini, zaidi ya kuniletea staili zao za popo kanyea mbingu n.k; kumbe walikuwa wanaangalia urahisi wa kufungua waleti.

Kwa sasa nimeshtuka, sitaki tena pisi kali, niacheni kwanza nami nivae nguo zinazong'aa, nionekane kijana; mambo ya kuonekana kama mzee mwenye miaka 90, sitaki tena huo ujinga.​
dronedrake turudi chamani ndugu,
 
Bora kupe kuliko midada ya mjini, inajua kunusa ukiwa na pesa unapendwa zaidi ya chochote na ukiishiwa nananusa hata simu zao huoni na ukiwapigia hawapokei au wakipokea wanaongea kwa mapizi.

Bora umeshtuka, mbususu hazina any return zaidi ya kuachiwa umasikini na magonjwa.
Mpende mmoja akuoendaye...kufa naye
 
Hizo 3k, ungezikusanya 10 hiyo ingekuwa shati mbili mpya kabisa mtumba grade A, karume

Mi mwenyewe nina karibia ku surrender ila mazoezi yanasaidia. Ila hawa watu si poa 😕😕😕😕
Nimelijua Hilo Nikasanuka Mapema
 
Back
Top Bottom