Pisi kali zilikuwa zinanifilisi

Pisi kali zilikuwa zinanifilisi

Leo nimejaribu kukagua nguo zangu zote, karibia robo tatu zimepauka na zimepoteza mng'ao wake; nikawa najiuliza, hivi ni mimi equation x ndio huwa navaa haya mavazi?

Ama kweli, pisi kali zinatufilisi sana; tunajikuta tunahonga sana na kusahau kupendezesha miili yetu.

Nilikuwa najiuliza, kwa nini warembo wengi wanakuwa wana ning'ang'ania ng'ang'ania, mbaya zaidi hawaniletei zawadi za mavazi wala nini, zaidi ya kuniletea staili zao za popo kanyea mbingu n.k; kumbe walikuwa wanaangalia urahisi wa kufungua waleti.

Kwa sasa nimeshtuka, sitaki tena pisi kali, niacheni kwanza nami nivae nguo zinazong'aa, nionekane kijana; mambo ya kuonekana kama mzee mwenye miaka 90, sitaki tena huo ujinga.​
Tatizo unapenda nyash
 
Bora kupe kuliko midada ya mjini, inajua kunusa ukiwa na pesa unapendwa zaidi ya chochote na ukiishiwa nananusa hata simu zao huoni na ukiwapigia hawapokei au wakipokea wanaongea kwa mapizi.

Bora umeshtuka, mbususu hazina any return zaidi ya kuachiwa umasikini na magonjwa.
Mpende mmoja akuoendaye...kufa naye

Bro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
karibu chaputa hatuna mengi
๐Ÿ‘‰๐Ÿพsera yetu; 'sheria mkononi, amani moyoni'
imageedit_2_9126229852.jpg
 
Sifa ya pisi kali ni kujishusha thamani,

Sema mi najua ukweli wote, [emoji108][emoji108][emoji108][emoji3526]

Pisi ya mkantri waid

Unajua ukweli gani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kantri anawajaza tu mimi sio pisi kali bas tu moyo wake umenipenda atafanyeje?!
 
Back
Top Bottom