Pisi zitaniua

DR SANTOS

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2019
Posts
12,846
Reaction score
28,106
Yaani wakianza kuomba hela, wanaomba wote kwa mara moja😀 utadhani ni wameambizana na hawajuani. Hapa nina mizinga kama mitano, sijui nianze na upi niache upi.

Nimegundua ukiendekeza hizi mambo za kuhonga hamna hatua ya maisha utapiga, bora nyeto😬.
 
Lazima utazituma tu. Kwasababu now uko possessed. So unaweza kujikuta umewatumia na usijue umewatumiaje.

Nakumbuka kuna siku , picha ya dem ilikua ikizunguka akilini mwangu sana....nikajikuta nimemtumia kiwango kikubwa sana cha pesa , yani mpaka leo sijuagi niliitumatuma vipi ile hela!

#KundaliniSpirit
 
😀😀😀Yaani ulituma bila kuombwa
 
Mpe wa kwanza kuomba.Ngono uleta umasikini.
Ngono haijawahi kupatikana bure tangu kuumbwa kwa Dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…