Pisi zitaniua

Yes, hakuniomba kabisa. Tena Mimi nilijipeleka mpaka anapoishi...nikamtoa out...na kisha nikamrushia hiyo pesa...yaani..just like that!!!....and e'was a huge amount of money. Daah fear womenooohhh

Nikiikumbukaga ile hela huwa naumia sana.
😂😂😂Pole sana boss ila si ilikua Kwa starehe zako
 
Methali 6:26

Mtu hupoteza kipande cha mkate kwa malaya, lakini kwa mke wa mtu mwingine utapoteza uhai wako wote.
 
Ukiwekeza kwenye pisi sahau hatua nazo utazikosa mbeleni. Wekeza sasa mbelen uwe unazibook tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…