Pisi zitaniua

Mungu hafungwi na mda wa dunia hii.. so kwa Mungu hakuna kuwahi wala kuchelewa.. Yesu aliwapa watu kazi shambani, ila alie anza na alie kuja mwisho wote aliwapa ujira sawa
Ndio lakini dhambi ya Uzinzi lazima utailipia tu , haiwezekani utombe ,uchezee watoto wa watu wake za watu then useme utabaki salama hiyo haipo
 
Baki na kamoja yanini presha
 
Same applies to sins

Naye alipokwisha kupatana na wakulima kuwapa kutwa dinari, aliwapeleka katika shamba lake la mizabibu.

Akatoka mnamo saa tatu, akaona wengine wamesimama sokoni wasiokuwa na kazi;

na hao nao akawaambia, Enendeni nanyi katika shamba langu la mizabibu, na iliyo haki nitawapa. Wakaenda.

Akatoka tena mnamo saa sita na saa kenda, akafanya vile vile.

Hata kama saa kumi na moja akatoka, akakuta wengine wamesimama, akawaambia, Mbona mmesimama hapa mchana kutwa bila kazi?

Wakamwambia, Kwa sababu hakuna mtu aliyetuajiri. Akawaambia, enendeni nanyi katika shamba la mizabibu.

Kulipokuchwa, yule bwana wa shamba akamwambia msimamizi wake, Waite wakulima, uwalipe ujira wao, ukianzia wa mwisho hata wa kwanza.

Na walipokuja wale wa saa kumi na moja, walipokea kila mtu dinari.

Na wale wa kwanza walipokuja, walidhani kwamba watapokea zaidi; na hao pia wakapokea kila mtu dinari.

Basi wakiisha kuipokea, wakamnung'unikia mwenye nyumba,

wakisema, Hao wa mwisho wametenda kazi saa moja tu, nawe umewasawazisha na sisi tuliostahimili taabu na hari za mchana kutwa.

Naye akamjibu mmoja wao, akamwambia, Rafiki, sikudhulumu; hukupatana nami kwa dinari?

Chukua iliyo yako, uende zako; napenda kumpa huyu wa mwisho sawa na wewe.

Si halali yangu kutumia vilivyo vyangu kama nipendavyo? Au jicho lako limekuwa ovu kwa sababu ya mimi kuwa mwema?

Vivyo hivyo wa mwisho watakuwa wa kwanza, na wa kwanza watakuwa wa mwisho.




C.c DR HAYA LAND
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…