Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Uongo gani?Tupatie mbinu kuepuka uongo wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo gani?Tupatie mbinu kuepuka uongo wenu
Mimi hvyo hvyo kuna siku napigiwa simu na watu watatu tofauti yaan hadi nacheka mwenyew natafakar nini nafanyaYaani ni hatari boss
🙏Naye alipokwisha kupatana na wakulima kuwapa kutwa dinari, aliwapeleka katika shamba lake la mizabibu.
Akatoka mnamo saa tatu, akaona wengine wamesimama sokoni wasiokuwa na kazi;
na hao nao akawaambia, Enendeni nanyi katika shamba langu la mizabibu, na iliyo haki nitawapa. Wakaenda.
Akatoka tena mnamo saa sita na saa kenda, akafanya vile vile.
Hata kama saa kumi na moja akatoka, akakuta wengine wamesimama, akawaambia, Mbona mmesimama hapa mchana kutwa bila kazi?
Wakamwambia, Kwa sababu hakuna mtu aliyetuajiri. Akawaambia, enendeni nanyi katika shamba la mizabibu.
Kulipokuchwa, yule bwana wa shamba akamwambia msimamizi wake, Waite wakulima, uwalipe ujira wao, ukianzia wa mwisho hata wa kwanza.
Na walipokuja wale wa saa kumi na moja, walipokea kila mtu dinari.
Na wale wa kwanza walipokuja, walidhani kwamba watapokea zaidi; na hao pia wakapokea kila mtu dinari.
Basi wakiisha kuipokea, wakamnung'unikia mwenye nyumba,
wakisema, Hao wa mwisho wametenda kazi saa moja tu, nawe umewasawazisha na sisi tuliostahimili taabu na hari za mchana kutwa.
Naye akamjibu mmoja wao, akamwambia, Rafiki, sikudhulumu; hukupatana nami kwa dinari?
Chukua iliyo yako, uende zako; napenda kumpa huyu wa mwisho sawa na wewe.
Si halali yangu kutumia vilivyo vyangu kama nipendavyo? Au jicho lako limekuwa ovu kwa sababu ya mimi kuwa mwema?
Vivyo hivyo wa mwisho watakuwa wa kwanza, na wa kwanza watakuwa wa mwisho.
C.c DR HAYA LAND
Shuhuda hamna ?Nauza dawa za kurefusha maumbile na kuongeza nguvu za kiume,karibuni pm kwa maelezo zaidi.
Tulia sasa jamanAsante sana boss
Nipo na tunajibizana kilasikuUpo mchumba? Umepoa sana siku hz