Pisi zitaniua

Pisi zitaniua

Binafsi pesa yangu Bora nitumie yote peke yangu kuliko kumpa Mwanamke tofauti na Mama Mzazi yaani nionge pesa kisa uchi labda Kama sio Mimi
Namshukuru Mungu Sana kaniumba tofauti yaani Mimi ujinga Sina. Kwanza nikiangalia mtaani watu wanavyoteseka eti nimpe Mwanamke pesa aisee Bora niitwe majina yote bahili , mchoyo nk kuliko kumpa pesa Malaya au demu wangu
Mkuu si useme tu jogoo hawikii. Mwanaume kamili Cha kwanza lazima uwe na uwezo wa kuhonga. Huo ndo ufahari.
 
Waulize waoliofanya Uzinzi kabla yako Mambo yanaendaji in their life circulation .

Unabidi kujitenga na Uzinzi tangu ukiwa Mdogo sio unayajua haya mambo ukubwani na unayajua baada ya kufanya Uzinzi mkubwa ambao umeota Mbawa .

Hiyo italipwa Mkuu uzagamuaji hauna msamaha.
Uzinzi unaongelea kwa hisia. Msamaha wa Mungu una nguvu kuliko kosa liwalo aina yoyote.
 
Back
Top Bottom