Pisi zitaniua

Pisi zitaniua

Yaani wakianza kuomba hela, wanaomba wote kwa mara moja😀 utadhani ni wameambizana na hawajuani. Hapa nina mizinga kama mitano, sijui nianze na upi niache upi.

Nimegundua ukiendekeza hizi mambo za kuhonga hamna hatua ya maisha utapiga, bora nyeto😬.
Hatari mwanawane kama vile wanaambizana. Kwa kweli bora nyeto ya mlenda vuguvugu angalau utafanya maendeleo lakini hizi mbususu tamuuuu mnooooo. Na kila leo vya utamu vinazaliwa tuu
 
Acha umalaya kamata mama moja uifanye main chick utulie zako. Kula mbususu hadi usaze. Kupoteza elf 10 kwa pisi yako sio hasara kama kuipoteza laki kwa malaya tofauti
🫡🫡🫡Salute
 
Back
Top Bottom