kajekudya
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 2,466
- 4,916
Mkuu si useme tu jogoo hawikii. Mwanaume kamili Cha kwanza lazima uwe na uwezo wa kuhonga. Huo ndo ufahari.Binafsi pesa yangu Bora nitumie yote peke yangu kuliko kumpa Mwanamke tofauti na Mama Mzazi yaani nionge pesa kisa uchi labda Kama sio Mimi
Namshukuru Mungu Sana kaniumba tofauti yaani Mimi ujinga Sina. Kwanza nikiangalia mtaani watu wanavyoteseka eti nimpe Mwanamke pesa aisee Bora niitwe majina yote bahili , mchoyo nk kuliko kumpa pesa Malaya au demu wangu