Pisi zitaniua

Pisi zitaniua

Mkizinguana, siku ukileta pisi nyingine,anatoa mkeka, anaitwa wenzie wanakae nje ya mlango wako. Mtasemwa huko ndan mpaka basi 😅😅😅
Anakuchomea kunguni🤣
 
Binafsi pesa yangu Bora nitumie yote peke yangu kuliko kumpa Mwanamke tofauti na Mama Mzazi yaani nionge pesa kisa uchi labda Kama sio Mimi
Namshukuru Mungu Sana kaniumba tofauti yaani Mimi ujinga Sina. Kwanza nikiangalia mtaani watu wanavyoteseka eti nimpe Mwanamke pesa aisee Bora niitwe majina yote bahili , mchoyo nk kuliko kumpa pesa Malaya au demu wangu
Comenti imekaa ki uwabata
 
Nina kondoo wengine ambao hawamo kwenye kundi hili hapa. Hao nao napaswa kuwaongoza. Kwani wataisikia sauti yangu. Baadaye kutakuwa na kundi moja na mchungaji mmoja.

Mwanadamu.. huu ndio andiko la leo tutapo enda kuhubiri na kuokoa nafsi za watu waliopotea
Wataje hao kondoo hapa
 
Nauza dawa za kurefusha maumbile na kuongeza nguvu za kiume,karibuni pm kwa maelezo zaidi.
 
Back
Top Bottom