Pisi zitaniua

Pisi zitaniua

Anapenda trends kwani ye ni msanii? Anajitia usley asiokuwa nao au?
Yes mkuu, sio msanii but anapenda vitu ambavyo najua itamcost siku moja....

Imagine laki 150 Kwa mtu anaekaa home kwao na anaona haimtoshi...hapo umenunulia na kasamsung S10.
 
@Depal honestly sikuwa na sababu ya kuharibu friendship yao....

Nilimpenda sana mainchick.... Alafu kipindi naanza nae mianya ya pesa ilikuwa mingi so I used to surprise her na nilimpenda sana....kias kwamba hata akija ghetto basi atashinda na simu yangu (sikuwa na mchepuko hata mmoja)

pia ameishawahi tumiwa simu yangu like one whole week

Shida nilikuja gundua mainchick anadate na jamaa flan hv dereva.... kupitia bestie maana that time (mainchick) alinitesa sana na akachange...imagine namplease aniambie nakosea wapi kmya

Pia namplease kama mahitaji yameongezeka nimpe ngapi kimya...

Basi katika kupuuziwa bestie apo anajua yote... alipata shida flan hv akaniita kwake and we ended up dating cause aliona nilivyo na true love
Kwa mwenye jicho la Tai atagundua love style uliyoingia nayo kwa huyo main chick wako ilikuwa ya kumvutia upendo kwako Me wala si kumjengea upendo Ke kwako.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Tafuta wa bei ndogo.
Unajua girl anapanda hadhi kutokana na unavyomtreat....Jamaa hapo umemshauri vizuri lakini alipata girl mfano wa 50 per mwezi....baada ya mda girl akiona jamaa anavisent ataanza badilika jamaa apandishe Hadi 200k au 100k.
 
Yes mkuu, sio msanii but anapenda vitu ambavyo najua itamcost siku moja....

Imagine laki 150 Kwa mtu anaekaa home kwao na anaona haimtoshi...hapo umenunulia na kasamsung S10.
Pole
Mpe ukweli
Achague pa kushika
Ukiacha ajue mwenyewe utakuwa umeharibu
 
Dk 20 ni kikao?

Lenie simu zako za masaa mawili mpk voda wanakukatia automatic niziiteje?
dear Depal, vikao vingine vinainua nye.ge sana mpaka tunaahirisha mkutano.

Genye za mbali zitasababisha nichapiwe😅😅
 
Yes i like simplicity sana pia yupo real sana anaongea unamsoma kuwa hapa kuna mtu...

pia sikumpokea mainchick kwasababu anajua namkubali basi amejipa ownership kuwa anaweza ingia muda wowote....

I will try my best asante kwa ushauri...maana bestie anaona text na anasimuliwa na sipend mkwaza nitajitahidi.
Baadae utakuja kulia tena kama unavyolia huyo wa mwanzo alichokufanyie
 
Wanawake wote hawa bado unapigwa vizinga.

Ukiwa na hela pisi hazikupigi vizinga zinaogopa kukupoteza otherwise izo pisi ni chuma ulete [emoji28]
 
Wanajijua walio jam sigal 😅😅😅 then wakajipanga kwa msela nae bila aijizi akafanya yake , na hatimae penzi likafa .. msela noma lazima akutangaze kaacha chata au mdada mwenyewe ajitangaze sijui anawapa manini tu
aisee, mi najuaga ni utani kumbe wana pasuana kweli ?

njia Yoyote, niko na Eli Roth hapa, ndani Cabin Fever 2
 
Nimekujibu sababu....yan sikuwa na sababu hata kidogo Yan....mainchick nikituma screenshot zake utagundua kuna wanawake wapumbavu....utaona kama nimekosea au vipi
Second mistake to your main chick.

Too much love feelings display from Man to any Woman is also very dangerous to your own family domination, hence it will automatically expose your weaknesses towards disrespect you consequently.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
aisee, mi najuaga ni utani kumbe wana pasuana kweli ?

njia Yoyote, niko na Eli Roth hapa, ndani Cabin Fever 2
Watu wapo serious kuchanganya virainishi, sema wanawake wa humu ni vitasaaa sana wachache sana wana akili ila wengi wao mafurushi 🤣🤣 ambayo ni advantage kwa wazee wa kula kisela...
 
Pole
Mpe ukweli
Achague pa kushika
Ukiacha ajue mwenyewe utakuwa umeharibu
sijui niweke screenshot hapa, sahizi asubuhi hii baada ya kunishauri nimemcheck the answer is awful....

Nime end relationship, but naumia i learned to love her, miaka miwili na nusu mingi sana.... But I end up today...

Ila uzuri nimejifunza kitu kikubwa sana,....nimejifunza women have worth wanawake wanathamani, all of them niliwasumbua lakini yeye amenisumbua..

Nimejifunza vingi sana upendo, kujali, msimamo, kukaa na girl room siku nyingine bila sex..... I learn t and all thanks to her. Sema njia yake itamcost nitakuja quote hii convo yetu sikumoja.
 
Back
Top Bottom