Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Na una mpango huo au unamchota dada wa watu?Hauko pekeako mkuu😅😅😅
jana nimetumia mda wangu mwingi sana kutongoza pisi kali kutoka Mashati Rombo na ikaelewa show
nimeongea nayo mda mwingi sana na ikakubali kuolewa😂😂😂
View attachment 2530394