Pita hapa kama unataka kujua chochote kuhusu biashara Kampala

Pita hapa kama unataka kujua chochote kuhusu biashara Kampala

Wakuu ahsanteni sana kwa hii maada mi mwenyewe hapa lengo langu ni hilo kutoa bidhaa Uganda hususani nguo izo
 
very interesting .....ukizoea kuchukulia mzigo uganda huwezi kuja kuchukulia mzigo kariakoo hata siku moja uganda kweli wapo vizur sana vitu vyao ni vizur yaan wakuu sio kujarib we nenda kafanye japo usawa wa magu ni mgumu lakin watu tunakomaa na kuchukulia mzigo huko....pia napenda niwashaur kitu kingine achana na nguo uganda kuna mashuka original sana yaan ni cotton pure na ni bei chee sana wenzetu wapo vizur wanakochukulia mzigo sio kama sisi watz ukienda kariakoo shuka linachuja nguo siku mbil zimechanika chaaa!!!!
 
a8e31517d1071be99e4bf9c4f5ff7e8e.jpg
 
Biashara unaenda fungia Kampala au Nairobi sijaelewa kabisa wao ndio wanaviwanda vingi na bora kuliko sisi au wao wanabandari bora ?
Mkuu Pilato, kwa upande wa Uganda, wenzetu wafanyabiasha wa jumla huagiza mizigo quality sana kwa wingi tofauti na hapa kwetu ubabaishaji mwingi
 
Sijaleta siasa wewe ndio unataka kuleta siasa biashara kama unajua sehemu wanachukua hao waganda nawe zifuate huko huko maana itakuwa nafuu kwako
Yeah kweli mkuu wanaobisha waache wabishe... mkuu unaweza kunicheck humu tupeane mawazo zaidi japo usawa wa uncle Magu
 
Back
Top Bottom