Medecin
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 8,221
- 22,496
asante sana mkuu kwa maelekezo yakoNauli kutoka Dar bila kukosea ni 100000, masuala ya passport nenda Uhamiaji utapata ya mwaka mmoja tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante sana mkuu kwa maelekezo yakoNauli kutoka Dar bila kukosea ni 100000, masuala ya passport nenda Uhamiaji utapata ya mwaka mmoja tu
Mkuu Pilato, kwa upande wa Uganda, wenzetu wafanyabiasha wa jumla huagiza mizigo quality sana kwa wingi tofauti na hapa kwetu ubabaishaji mwingiBiashara unaenda fungia Kampala au Nairobi sijaelewa kabisa wao ndio wanaviwanda vingi na bora kuliko sisi au wao wanabandari bora ?
unataka kuleta siasa???Biashara unaenda fungia Kampala au Nairobi sijaelewa kabisa wao ndio wanaviwanda vingi na bora kuliko sisi au wao wanabandari bora ?
Kwanini sisi hatuagizi vilivyo bora wakati masoko tunayajua yalipoMkuu Pilato, kwa upande wa Uganda, wenzetu wafanyabiasha wa jumla huagiza mizigo quality sana kwa wingi tofauti na hapa kwetu ubabaishaji mwingi
Sijaleta siasa wewe ndio unataka kuleta siasa biashara kama unajua sehemu wanachukua hao waganda nawe zifuate huko huko maana itakuwa nafuu kwakounataka kuleta siasa???
Yeah kweli mkuu wanaobisha waache wabishe... mkuu unaweza kunicheck humu tupeane mawazo zaidi japo usawa wa uncle MaguSijaleta siasa wewe ndio unataka kuleta siasa biashara kama unajua sehemu wanachukua hao waganda nawe zifuate huko huko maana itakuwa nafuu kwako
0656378005Sijaleta siasa wewe ndio unataka kuleta siasa biashara kama unajua sehemu wanachukua hao waganda nawe zifuate huko huko maana itakuwa nafuu kwako