Daaah. Mdogo wangu aliharibikia huko sipataki kabisa. Afu wa kiume.... Alienda kusomaSisi Tanzania kibiashara na hata kula Bata bado sana. Jaribu kumuuliza mbongo aliyesoma Uganda hasa miaka hii ya karibuni atakwambia, Uganda nomaa a
Aliharibika kivipi?Daaah. Mdogo wangu aliharibikia huko sipataki kabisa. Afu wa kiume.... Alienda kusoma
Kodi kubwa sana labda kama unaweza kuingiza kama magendoKwanini sisi hatuagizi vilivyo bora wakati masoko tunayajua yalipo
Sio kweliKodi kubwa sana labda kama unaweza kuingiza kama magendo
Uniulizie viatu mtumba Robota wanauzajeIjumaa Inshallah nitaenda tena Kampala, if you have anything, just let me know.
Nataka nimpe mdogo wangu mtaji wa kununulia nguo huko.Mkuu kwa sasa ninauza kwa orders tu bado sijafungua ofisi
Inategemea na eneo alipo, mzigo gani unatoka zaidi, mi nashauri nguo za kike. Kitu cha msingi anatakiwa are study customers wa eneo atakalokua anauza na akipata mzigo mzuri lazima aweke heshimaNataka nimpe mdogo wangu mtaji wa kununulia nguo huko.
Je, 2,000,000 itamtosha mzigo wa ukubwa gani?
Na unamshauri aanze na na nguo za kike au za kiume au za watoto?
Yupo Dar. Wateja sio shida. Nimeuliza 2M inatosha kuanzia?Inategemea na eneo alipo, mzigo gani unatoka zaidi, mi nashauri nguo za kike. Kitu cha msingi anatakiwa are study customers wa eneo atakalokua anauza na akipata mzigo mzuri lazima aweke heshima
Alikuwa mhuni bangi, mademu, club hadi akafeli....Aliharibika kivipi?
Alikuwa mhuni bangi, mademu, club hadi akafeli....Ilitokea nini kwa dogo mkuu?
Plus nauli na malazi?Yes mkuu inatosha
Mtu anayeish Dar itamgharimu siku ngapi kwenda,kufanya manunuz na kurud Dar?Yes mkuu inatosha
Pole sana mdauAlikuwa mhuni bangi, mademu, club hadi akafeli....