Pita hapa kama unataka kujua chochote kuhusu biashara Kampala

Pita hapa kama unataka kujua chochote kuhusu biashara Kampala

Ijumaa Inshallah nitaenda tena Kampala, if you have anything, just let me know.
 
Dah umenikumbusha mbali mkuu Namaiba hapo.

Nimefanya biashara ya kuchukua nguo hapo "kariakoo"

Ya kampala kuleta dar, at list ninaka exprnce kidgo. U can ask
 
Unauzia wapi mkuu
8dd12430675eefc95ecf06fd3d77ffe3.jpg
 
Mkuu kwa sasa ninauza kwa orders tu bado sijafungua ofisi
Nataka nimpe mdogo wangu mtaji wa kununulia nguo huko.
Je, 2,000,000 itamtosha mzigo wa ukubwa gani?
Na unamshauri aanze na na nguo za kike au za kiume au za watoto?
 
Nataka nimpe mdogo wangu mtaji wa kununulia nguo huko.
Je, 2,000,000 itamtosha mzigo wa ukubwa gani?
Na unamshauri aanze na na nguo za kike au za kiume au za watoto?
Inategemea na eneo alipo, mzigo gani unatoka zaidi, mi nashauri nguo za kike. Kitu cha msingi anatakiwa are study customers wa eneo atakalokua anauza na akipata mzigo mzuri lazima aweke heshima
 
Back
Top Bottom