Pita hapa kama unataka kujua chochote kuhusu biashara Kampala

Kuna mgahawa wa KFC pia hauko mbali
Kuna pub inaitwa Gatomato, kila jumanne kuna bendi ya watu watatu na hushirikisha wateja pia kwa kareoke, pananoga sana sana kuanzia chakula, vinywaji na starehe nyingine.

Kaka ...
 
Nawapenda sana URA kuliko TRA maana wabongo wanakukomalia mpaka basi ila wenzetu wao hawako hivyo..Karibuni Kampala Mukiyembe Lane Opposite Nakassero Market
 
Pikipiki nyingi Uganda ni Boxer, spear zipo bei nafuu japo si sana.

Mimi Hua nafuata spare za Pikipiki China Pale Guanzhou, lakini ninapata shida kujua source ya spare za Bajaj 100 , ninakuomba uniunganishe na importer mmoja ili anisaidie address ya anakonunua kule China hasa Bajaj 100 brand ya Simba.
 
Vipi kuusu skin jeans za mtumba pamoja na vikoi orginal vinapatikana sehemu gani uganda?
Skin jeans zipo kibao, sema ukitaka kufaidi ni kuchagua mzigo uliofunguliwa kwa bei poa, vikoi og siwezi jua, ila vitakuwepo tu.
 
Kuna pub inaitwa Gatomato, kila jumanne kuna bendi ya watu watatu na hushirikisha wateja pia kwa kareoke, pananoga sana sana kuanzia chakula, vinywaji na starehe nyingine.

Kaka ...
Yes nilisikia sema sikupata nafasi ya kwenda ila my bby Natalie anapapenda sana. Mi nilikuwa ni mtu wa De Posh Pub tu kwani they always treated like VIP pale aisee. Nilienda pia Governor, dah Ile Club noma ni kama mbele yaani nilikutana na high class mule hatari, watu wenye pesa wana party pale sana, Ange Noir wamefulia
 
Nawapenda sana URA kuliko TRA maana wabongo wanakukomalia mpaka basi ila wenzetu wao hawako hivyo..Karibuni Kampala Mukiyembe Lane Opposite Nakassero Market
Mkuu tutakaribia
 
Asante kwa ufafanuzi natarajia mwezi wa tatu nitaenda kuchukua mzigo.
 
Yani nimesoma nyuzi zenu nahisi kuchanganyikiwa
 
We jamaa angalia usije kufilisika maana naona bata linakuzidi nguvu afu unahang expensive and classic venues wakati hela yenyewe umepata kwa mkopo wa Sacco's! Aaaaaah!

Kabalagala ni maarufu kwa makahaba wa bei chee na ghali..ila its the place where they never sleep. Ni bata ubatani tu!
 
Hahahaha [emoji1] kule ni hatari sana, now i called it home kwani I'm expecting to rent apartment there
 
Mkuu naomba na mimi unitumie no zao tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…