KUNGUNIMSOMI
Senior Member
- Sep 8, 2013
- 181
- 191
Vipi kuusu skin jeans za mtumba pamoja na vikoi orginal vinapatikana sehemu gani uganda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tsh ngap mal hzi
Kuna pub inaitwa Gatomato, kila jumanne kuna bendi ya watu watatu na hushirikisha wateja pia kwa kareoke, pananoga sana sana kuanzia chakula, vinywaji na starehe nyingine.Kuna mgahawa wa KFC pia hauko mbali
Pikipiki nyingi Uganda ni Boxer, spear zipo bei nafuu japo si sana.
Yes nilisikia sema sikupata nafasi ya kwenda ila my bby Natalie anapapenda sana. Mi nilikuwa ni mtu wa De Posh Pub tu kwani they always treated like VIP pale aisee. Nilienda pia Governor, dah Ile Club noma ni kama mbele yaani nilikutana na high class mule hatari, watu wenye pesa wana party pale sana, Ange Noir wamefuliaKuna pub inaitwa Gatomato, kila jumanne kuna bendi ya watu watatu na hushirikisha wateja pia kwa kareoke, pananoga sana sana kuanzia chakula, vinywaji na starehe nyingine.
Kaka ...
Kiaje?Yani nimesoma nyuzi zenu nahisi kuchanganyikiwa
Nazipataje mkuu nipo MwanzaHizi ni buku 5 hadi 8 ya kiganda, bei poa sana
We jamaa angalia usije kufilisika maana naona bata linakuzidi nguvu afu unahang expensive and classic venues wakati hela yenyewe umepata kwa mkopo wa Sacco's! Aaaaaah!Yes nilisikia sema sikupata nafasi ya kwenda ila my bby Natalie anapapenda sana. Mi nilikuwa ni mtu wa De Posh Pub tu kwani they always treated like VIP pale aisee. Nilienda pia Governor, dah Ile Club noma ni kama mbele yaani nilikutana na high class mule hatari, watu wenye pesa wana party pale sana, Ange Noir wamefulia
Hahahaha [emoji1] kule ni hatari sana, now i called it home kwani I'm expecting to rent apartment thereWe jamaa angalia usije kufilisika maana naona bata linakuzidi nguvu afu unahang expensive and classic venues wakati hela yenyewe umepata kwa mkopo wa Sacco's! Aaaaaah!
Kabalagala ni maarufu kwa makahaba wa bei chee na ghali..ila its the place where they never sleep. Ni bata ubatani tu!
Mkuu naomba na mimi unitumie no zao tafadhaliKingine hiyo biashara uchanganye nguo za kike na kiume, za kike ziwe nyingi kuliko za wanaume ambao si wavaaji kama wanawake pia wakopaji wazuri. Usisahau kununua chupi za kisasa hasa cotton, soma mazigira unayouzia kama kuna wadada wanapenda nguo za kimamtoni then waletee hizo. Ngoja nikipata muda takutumia business card za maduka ya nguo Kampala.