Pita hapa kama unataka kujua chochote kuhusu biashara Kampala

Nakumbuka Kabalaga mida ya saa kumi alfajiri nilihitaji leso nikakuta super market iko wazi, yaani Muda huo hata ukihitaji viatu au nguo unapata mtaani
Mh! Hii sasa ni kubwa kuliko. It means hawalali! Hata Dar haiko hivyo. Hawa jamaa watakua wametuacha mbali na style hiyo watazidi kutuacha kila kuchapo.
 
Sisi Tanzania kibiashara na hata kula Bata bado sana. Jaribu kumuuliza mbongo aliyesoma Uganda hasa miaka hii ya karibuni atakwambia, Uganda nomaa a
Nina rafiki yangu alisoma huko miaka ya 2005 alikua akianza kusimulia bata na totoz za Uganda unakosa la kuongea unaishia kutamani kufika huko.
 
Bila kusahau serikalia na viongozi wake kandamizi wanaotumia cheo/ madaraka kama nyenzo ya kukandamiza raia badala ya kuwasaidia!
 
Hahahaha kuna ukweli flani hapa, nina mdogo wangu kamaliza form six mwaka huu, story mbili au Tatu ataanza story za Club Ambiance, Ange Noir, Silk Club [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ndio maana nikasema inawezekana hii inadhihirisha vile Uganda ilivyo nchi ya bata. Nina rafiki yangu tulikutana chuoni, "A" alisoma Uganda nae yuko hivyo stories zake nyingi ni kuhusu bata.
 
Hahahahahahahaha.... zitakua chura za ukanda gani mkuu @Ias Casas
 
@Ias Casas ni kitu gani hasa hiyo iliyokatazwa huku lkn kule ruksa?
 
Mkuu samahani eti hivi unaeza ukaanza na mtaji wa sh ngapi kwa kuleta Nguo hapa kutoka UG?
 
Wakuu nilienda Kampala wiki iliyopita kwa safari ya kwanza na nimerudi na kitu hicho juu [HASHTAG]#smartworldagency[/HASHTAG]
Njoo PM kwa maelezo zaidi
Acha hizo mkuu mbona mwenzako Mkuu Ng'wanapagi alikupa maujanja yote hadharani....

Halafu ulivyokuwa na shida ya kwenda UG ulileta hadharani na ukapewa maujanja? Acha hizo..

Wabongo doooh!
 
Ajabu yeye alikuwa anapewa maelezo kwa uwazi na Ngwanampagi kaenda karudi anaita watu pm awape maelezo hahaha
Halafu alivyokuwaga mnyenyekevu sasa kipindi hicho cha November? I do remember coz nilikuwa nafatilia sana huu Uzi..

Mtanzania hapana asee!

Hata huyo Ng'wanapagi sijui katoa wapi hiyo roho![emoji23] [emoji23]
 
Haaaa haaaa haaa uwiiii nimecheka kama mazuri...

Jamaa anaconcentrate na bata kuliko biz hadi nashangaa..

Mkuu tafuta hela kwanza si unaona hata ofisi bado hujafungua?!!

Teh teh ...
 
Halafu alivyokuwaga mnyenyekevu sasa kipindi hicho cha November? I do remember coz nilikuwa nafatilia sana huu Uzi..

Mtanzania hapana asee!

Hata huyo Ng'wanapagi sijui katoa wapi hiyo roho![emoji23] [emoji23]
Hata watoto wa tumbo moja hutofautiana kwa mengi. Binadamu hatufanani kwa mengi.
 
Ndio maana nikasema inawezekana hii inadhihirisha vile Uganda ilivyo nchi ya bata. Nina rafiki yangu tulikutana chuoni, "A" alisoma Uganda nae yuko hivyo stories zake nyingi ni kuhusu bata.
Hahahaha Ile nchi kwa bata na biashara hakunaga kwa EA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…