Pita hapa kama unataka kujua chochote kuhusu biashara Kampala

Pita hapa kama unataka kujua chochote kuhusu biashara Kampala

Nakumbuka Kabalaga mida ya saa kumi alfajiri nilihitaji leso nikakuta super market iko wazi, yaani Muda huo hata ukihitaji viatu au nguo unapata mtaani
Mh! Hii sasa ni kubwa kuliko. It means hawalali! Hata Dar haiko hivyo. Hawa jamaa watakua wametuacha mbali na style hiyo watazidi kutuacha kila kuchapo.
 
Sisi Tanzania kibiashara na hata kula Bata bado sana. Jaribu kumuuliza mbongo aliyesoma Uganda hasa miaka hii ya karibuni atakwambia, Uganda nomaa a
Nina rafiki yangu alisoma huko miaka ya 2005 alikua akianza kusimulia bata na totoz za Uganda unakosa la kuongea unaishia kutamani kufika huko.
 
Israel ni nchi ndogo sana na isio na rasilimali nyingi lakini wanatumia ipasavyo Fursa kiduchu walizonazo kufanya wonders, Uganda wana fursa chache ila wanazitumia vizuri mno kibiashara.

Hata hapa Bongo biashara ipo sana tu, na tuna fursa nyingi sana ila shida ni Mimi na wewe. Tuna fursa nyingi sana ila kila siku tunalialia humu JF eti tumemaliza degree hakuna kazi, tena waliosoma ualimu ndo wanajihisi wao ni Almasi kila siku malalamiko, nenda Uganda uone graduates kibao hawana kazi ila wanajaribu kujiajiri wenyewe licha ya kuwa na utawala wanaoulalamikia sana kuliko nchi yoyote East Africa isipokuwa Burundi.

NGUZO ZA UMASIKINI WETU WATZ
NI
1.Uzembe + uvivu, tumekuwa wazembe na wavivu wa kufikiria hadi kufanya kazi.
2. Kukosa umoja na Ushirikiano, Uganda ni kawaida kabisa watu watatu kupanga chumba kimoja na kila mtu akaweka biashara yake na wakashare kodi ya pango. Sisi hapa Tz vijana wangapi tunaweza kupanga Fremu pale Kariakoo??

Itaendelea......
Bila kusahau serikalia na viongozi wake kandamizi wanaotumia cheo/ madaraka kama nyenzo ya kukandamiza raia badala ya kuwasaidia!
 
Hahahaha kuna ukweli flani hapa, nina mdogo wangu kamaliza form six mwaka huu, story mbili au Tatu ataanza story za Club Ambiance, Ange Noir, Silk Club [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ndio maana nikasema inawezekana hii inadhihirisha vile Uganda ilivyo nchi ya bata. Nina rafiki yangu tulikutana chuoni, "A" alisoma Uganda nae yuko hivyo stories zake nyingi ni kuhusu bata.
 
Ukitaka muziki na vinywaji pamoja na Ile kitu iliyokatazwa huku kwetu nenda De Posh Pub ambayo iko karibu na Pearl Guest House yaani unakula bata hapa then unalala pale. De Posh Pub is the best pub in Kampala. Kuna totozi za hatari mle ndani, kuna watoto wa kinyankole mule hatari, ila sio kwa chura zile, zile chura sio za East Africa
Hahahahahahahaha.... zitakua chura za ukanda gani mkuu @Ias Casas
 
Ila mule nilikutana na watoto kama watatu hivi hataree sana afu walikuwa wanajua mi Mnigeria so shobo zilikuwa nyingi sana. Kitu Nilichopenda De Posh Pub wakijua wewe ni mgeni eneo Lao they treat you as a VIP. Walifanya hivyo kwangu lengo ni kuipaisha Pub. Ile kitu huku imekatazwa kule ipo tena sana na usishangae ukiwa mle unaitumia akaja mtoto mzuri akakusalimia afu aombe umnunulie. Utakutana na akina Mercy, Esther, Alice, Vanessa, Angel na wengine wengi hahahaha
@Ias Casas ni kitu gani hasa hiyo iliyokatazwa huku lkn kule ruksa?
 
Mchele naona unahitajika sana mkuu kuliko mahindi, maana ukipata rafiki Mganda moja ya mahitaji au zawadi atakayokuambia ni mchele. Mahindi sina uhakika maana naona ugali huwa tunakula wageni tu wao chakula chao wakipendacho ni ndizi (kama walivyo wahaya)
Mkuu samahani eti hivi unaeza ukaanza na mtaji wa sh ngapi kwa kuleta Nguo hapa kutoka UG?
 
Wakuu nilienda Kampala wiki iliyopita kwa safari ya kwanza na nimerudi na kitu hicho juu [HASHTAG]#smartworldagency[/HASHTAG]
Njoo PM kwa maelezo zaidi
Acha hizo mkuu mbona mwenzako Mkuu Ng'wanapagi alikupa maujanja yote hadharani....

Halafu ulivyokuwa na shida ya kwenda UG ulileta hadharani na ukapewa maujanja? Acha hizo..

Wabongo doooh!
 
Ajabu yeye alikuwa anapewa maelezo kwa uwazi na Ngwanampagi kaenda karudi anaita watu pm awape maelezo hahaha
Halafu alivyokuwaga mnyenyekevu sasa kipindi hicho cha November? I do remember coz nilikuwa nafatilia sana huu Uzi..

Mtanzania hapana asee!

Hata huyo Ng'wanapagi sijui katoa wapi hiyo roho![emoji23] [emoji23]
 
We jamaa angalia usije kufilisika maana naona bata linakuzidi nguvu afu unahang expensive and classic venues wakati hela yenyewe umepata kwa mkopo wa Sacco's! Aaaaaah!

Kabalagala ni maarufu kwa makahaba wa bei chee na ghali..ila its the place where they never sleep. Ni bata ubatani tu!
Haaaa haaaa haaa uwiiii nimecheka kama mazuri...

Jamaa anaconcentrate na bata kuliko biz hadi nashangaa..

Mkuu tafuta hela kwanza si unaona hata ofisi bado hujafungua?!!

Teh teh ...
 
Halafu alivyokuwaga mnyenyekevu sasa kipindi hicho cha November? I do remember coz nilikuwa nafatilia sana huu Uzi..

Mtanzania hapana asee!

Hata huyo Ng'wanapagi sijui katoa wapi hiyo roho![emoji23] [emoji23]
Hata watoto wa tumbo moja hutofautiana kwa mengi. Binadamu hatufanani kwa mengi.
 
Ndio maana nikasema inawezekana hii inadhihirisha vile Uganda ilivyo nchi ya bata. Nina rafiki yangu tulikutana chuoni, "A" alisoma Uganda nae yuko hivyo stories zake nyingi ni kuhusu bata.
Hahahaha Ile nchi kwa bata na biashara hakunaga kwa EA
 
Back
Top Bottom