Pita hapa kama unataka kujua chochote kuhusu biashara Kampala

Sawa mkuu hata kwa direction ya mitaa sio mbaya tukifahamu mkuu
Maduka ya nguo ama bidhaa huwa yako sehemu moja lakini katika style ya Malls. Ukishuka kwenye basi na kufikia Hotel (Tanzania mnaita Guest house) waambie pale reception wakupatie kijana wa kukupeleka mjini (kukutembeza). Utamlipa shilling 15,000/=ya Uganda sawa na 9,000/= ya Tanzania. Siku nzima. Huyo mtu unayepewa lolote atakalokufanyiwa amedhaminiwa na hiyo Hotel, epuka wale wa mitaani ni wezi kuliko hata Watanzania. Baada ya safari mbili utakuwa mwenyeji. Sasa sijui mwezangu unaongea lugha gani lkn kama wewe ni Mhaya hakuna shida maana mnasikilizana na Waganda.
 
Asante mkuu, mi kiingereza na pia kidogo nafahamu lugha yao kwa upande wa pesa. Katika safari zangu hapo awali nilikuwa nafikia Kampala Guest House
 
Asante mkuu, mi kiingereza na pia kidogo nafahamu lugha yao kwa upande wa pesa. Katika safari zangu hapo awali nilikuwa nafikia Kampala Guest House
Mie nilikuwa nafikia Rock Classic ni salama hata ukiacha mlango wazi na hivi majuzi wameongeza huduma nyingine ya tungi hivyo ukiwa mpenzi wa maji na watoto mbona utabadiri uraia huko huko.
 
Mie nilikuwa nafikia Rock Classic ni salama hata ukiacha mlango wazi na hivi majuzi wameongeza huduma nyingine ya tungi hivyo ukiwa mpenzi wa maji na watoto mbona utabadiri uraia huko huko.
Mkuu hiyo iko wapi nipe location nikienda nifikie hapo
 
Kungepatikana watu 1000 wanaoweza kushauri mtu kwa roho nyeupe kama wewe hasa kwenye swala la biashara WATANZANIA TUNGEFIKA MBALI KWELI!
 
Hivi hao ndugu zetu wao hawanaga uhitaji wa nafaka kama mahindi, mchele nk sababu watu wengi naona wanafanya biashara ya viwalo sana sana, ukipata muda jaribu kufuatilia hilo mkuu.
 
Hivi hao ndugu zetu wao hawanaga uhitaji wa nafaka kama mahindi, mchele nk sababu watu wengi naona wanafanya biashara ya viwalo sana sana, ukipata muda jaribu kufuatilia hilo mkuu.
Mchele naona unahitajika sana mkuu kuliko mahindi, maana ukipata rafiki Mganda moja ya mahitaji au zawadi atakayokuambia ni mchele. Mahindi sina uhakika maana naona ugali huwa tunakula wageni tu wao chakula chao wakipendacho ni ndizi (kama walivyo wahaya)
 
Aaah kama ni hivyo demand itakuwepo ya kutosha kwa kuwa mkuu las Casas anaenda huko akipata muda wa kulifuatilia atatujia na majibu mazuri zaidi maana saivi inabidi kuangalia fursa za kuvuka boda kama ww ulivyo zamia mtoni mkuu 🙂.
 
Biz za Uganda especially kwa mji wa Kampala kwa mtu ambae ndio anaanza biashara na ana malengo nayo kama akikomaa lazima itamtoa....Nimedeal sana na huo mji japo sasa hivi nipo ligi kubwa China,Turkey na Dubai lakini sitoisahau Kampala hasa kuna club moja ipo Pioneer Mall hiyo ilitafuna sana hela zangu kuna mtoto mmoja nilimpata utamsikia "bby mi sinywi hite all i need is hennessy"wapi Nyege Nyege festival
 
Kila nikifuma hela wazo la kwenda uganda linafutika mpaka naelekeza mbesa yangu kwa miradi mingine!!
Next time i'm going to make it possible and of necessity...
Kampala! Kampala! Nahisi ndo kutakontoa make kila nikiona nyuzi zake tu, nasisimukwa na kijasho cha kipesapesa kinanyevua mwili mzima!
 
Mkuu ukiwa tayari nitafute mkuu, itakuwa vizuri kama tukawa pamoja kwani hata mimi siku zote najua Kampala itanitoa nikikomaa nayo kibiashara
 
Hahahaha club gani hiyo mkuu na mimi nikienda nikasafishe macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…