Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maduka ya nguo ama bidhaa huwa yako sehemu moja lakini katika style ya Malls. Ukishuka kwenye basi na kufikia Hotel (Tanzania mnaita Guest house) waambie pale reception wakupatie kijana wa kukupeleka mjini (kukutembeza). Utamlipa shilling 15,000/=ya Uganda sawa na 9,000/= ya Tanzania. Siku nzima. Huyo mtu unayepewa lolote atakalokufanyiwa amedhaminiwa na hiyo Hotel, epuka wale wa mitaani ni wezi kuliko hata Watanzania. Baada ya safari mbili utakuwa mwenyeji. Sasa sijui mwezangu unaongea lugha gani lkn kama wewe ni Mhaya hakuna shida maana mnasikilizana na Waganda.Sawa mkuu hata kwa direction ya mitaa sio mbaya tukifahamu mkuu
Asante mkuu, mi kiingereza na pia kidogo nafahamu lugha yao kwa upande wa pesa. Katika safari zangu hapo awali nilikuwa nafikia Kampala Guest HouseMaduka ya nguo ama bidhaa huwa yako sehemu moja lakini katika style ya Malls. Ukishuka kwenye basi na kufikia Hotel (Tanzania mnaita Guest house) waambie pale reception wakupatie kijana wa kukupeleka mjini (kukutembeza). Utamlipa shilling 15,000/=ya Uganda sawa na 9,000/= ya Tanzania. Siku nzima. Huyo mtu unayepewa lolote atakalokufanyiwa amedhaminiwa na hiyo Hotel, epuka wale wa mitaani ni wezi kuliko hata Watanzania. Baada ya safari mbili utakuwa mwenyeji. Sasa sijui mwezangu unaongea lugha gani lkn kama wewe ni Mhaya hakuna shida maana mnasikilizana na Waganda.
Mie nilikuwa nafikia Rock Classic ni salama hata ukiacha mlango wazi na hivi majuzi wameongeza huduma nyingine ya tungi hivyo ukiwa mpenzi wa maji na watoto mbona utabadiri uraia huko huko.Asante mkuu, mi kiingereza na pia kidogo nafahamu lugha yao kwa upande wa pesa. Katika safari zangu hapo awali nilikuwa nafikia Kampala Guest House
Mkuu hiyo iko wapi nipe location nikienda nifikie hapoMie nilikuwa nafikia Rock Classic ni salama hata ukiacha mlango wazi na hivi majuzi wameongeza huduma nyingine ya tungi hivyo ukiwa mpenzi wa maji na watoto mbona utabadiri uraia huko huko.
Kungepatikana watu 1000 wanaoweza kushauri mtu kwa roho nyeupe kama wewe hasa kwenye swala la biashara WATANZANIA TUNGEFIKA MBALI KWELI!Kingine hiyo biashara uchanganye nguo za kike na kiume, za kike ziwe nyingi kuliko za wanaume ambao si wavaaji kama wanawake pia wakopaji wazuri. Usisahau kununua chupi za kisasa hasa cotton, soma mazigira unayouzia kama kuna wadada wanapenda nguo za kimamtoni then waletee hizo. Ngoja nikipata muda takutumia business card za maduka ya nguo Kampala.
Nimekuzwa hivyo hasa baada ya kutokea familia maskini mkuuKungepatikana watu 1000 wanaoweza kushauri mtu kwa roho nyeupe kama wewe hasa kwenye swala la biashara WATANZANIA TUNGEFIKA MBALI KWELI!
belo za mtumba grade A za nguo za watoto wa kike na wa kiume zinaanzia shngp huko??Nimekuzwa hivyo hasa baada ya kutokea familia maskini mkuu
Hivi hao ndugu zetu wao hawanaga uhitaji wa nafaka kama mahindi, mchele nk sababu watu wengi naona wanafanya biashara ya viwalo sana sana, ukipata muda jaribu kufuatilia hilo mkuu.Wakuu natarajia kuwa na safari ya Kampala mwanzoni mwa mwezi wa kumi na mbili . Lengo la safari hii ni kuangalia mazingira ya biashara kwa ujumla ikijumuisha gharama za vitu, usafiri, accommodation pamoja ushuru na taratibu za border. Ni muda mrefu sijaenda huko. Kama utakuwa unataka kujua lolote karibu.[HASHTAG]#Mrmitumba[/HASHTAG]
Sijawahi kuuliza mkuu japo huwa naona kwenye mastoo zimejaa tele. Huchagua tu original piece by piecebelo za mtumba grade A za nguo za watoto wa kike na wa kiume zinaanzia shngp huko??
Mchele naona unahitajika sana mkuu kuliko mahindi, maana ukipata rafiki Mganda moja ya mahitaji au zawadi atakayokuambia ni mchele. Mahindi sina uhakika maana naona ugali huwa tunakula wageni tu wao chakula chao wakipendacho ni ndizi (kama walivyo wahaya)Hivi hao ndugu zetu wao hawanaga uhitaji wa nafaka kama mahindi, mchele nk sababu watu wengi naona wanafanya biashara ya viwalo sana sana, ukipata muda jaribu kufuatilia hilo mkuu.
Aaah kama ni hivyo demand itakuwepo ya kutosha kwa kuwa mkuu las Casas anaenda huko akipata muda wa kulifuatilia atatujia na majibu mazuri zaidi maana saivi inabidi kuangalia fursa za kuvuka boda kama ww ulivyo zamia mtoni mkuu 🙂.Mchele naona unahitajika sana mkuu kuliko mahindi, maana ukipata rafiki Mganda moja ya mahitaji au zawadi atakayokuambia ni mchele. Mahindi sina uhakika maana naona ugali huwa tunakula wageni tu wao chakula chao wakipendacho ni ndizi (kama walivyo wahaya)
ntashukuru sana mkuu...Biashara ya samaki na dagaa sijui mkuu lakini tujaribu kuulizia
Sent from my TECNO P6 using JamiiForums mobile app
Mkuu ukiwa tayari nitafute mkuu, itakuwa vizuri kama tukawa pamoja kwani hata mimi siku zote najua Kampala itanitoa nikikomaa nayo kibiasharaKila nikifuma hela wazo la kwenda uganda linafutika mpaka naelekeza mbesa yangu kwa miradi mingine!!
Next time i'm going to make it possible and of necessity...
Kampala! Kampala! Nahisi ndo kutakontoa make kila nikiona nyuzi zake tu, nasisimukwa na kijasho cha kipesapesa kinanyevua mwili mzima!
Hahahaha club gani hiyo mkuu na mimi nikienda nikasafishe machoBiz za Uganda especially kwa mji wa Kampala kwa mtu ambae ndio anaanza biashara na ana malengo nayo kama akikomaa lazima itamtoa....Nimedeal sana na huo mji japo sasa hivi nipo ligi kubwa China,Turkey na Dubai lakini sitoisahau Kampala hasa kuna club moja ipo Pioneer Mall hiyo ilitafuna sana hela zangu kuna mtoto mmoja nilimpata utamsikia "bby mi sinywi hite all i need is hennessy"wapi Nyege Nyege festival