Chausiku siyo Chamchana
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 379
- 230
Hizi biashara haramu huwatoa watu wengi sana lkn kama kamtaji kadogo ndio unaanza wakikukamata utarudi kupiga debemaji/serum hutumika kuchanganya na hiyo Cream ili ubadiri colour ya ngozi,ni hatari sana kiafya lkn kwa vile unataka pesa hata mimi nilikuwa nazileta sana
Hahahaha watoto wa kiganda sio wa mchezo mchezoWakati naaza kufika Kampala nilikuwa nakoswakoswa kugongwa na bodaboda sababu ya kuchungulia makalio ya watoto wa Kinyankole baadae nikaona isiwe shida sana................
hahahahaha... mkuu Ng'wanapagi mbona.... kwanini hukumalizia au ukaamua uvute ndani mmoja wao? Ni ushauri namna ya kupambana na changamoto za Uganda
Mimi naweza kuleteya mitumba kutoka ulaya via Zanzibar +31611414091whatspMimi nataka kujua mtumba grade one nguo za watoto na viatu garama zake nichekie kwa balo mkuu
Mitumba ya ngu, viatu, electronic devices, magari... au mtumba gan mzeeMimi naweza kuleteya mitumba kutoka ulaya via Zanzibar +31611414091whatsp
Unapeleka au unanunua huko kuleta Bukoba? Kama unafuata huko wala usisubiri, nenda tu bei ni nafuu sana. Miezi miwili imepita nilipata safari ya kuja Tz kuangalia familia yangu na kibiashara changu then nikaenda Kampala kununua nguo, tatizo kwa sasa kuna ushuru wa kukomoana kwa TRA. Unalipia Mtukula na TRA Kyaka zote nchi moja. kama copper complex vile hapo mkuu cyo? owino?. Pia hapo Bukoba kuna wafanyabiashara wengi sana wananunua nguo Kampala lakini wengi wanakuja kuuza kwa jumla soko la Mtukula
Kwa hiyo unataka kusema Kampala kuna bidhaa (eg. Nguo) kuliko Dar?Kingine hiyo biashara uchanganye nguo za kike na kiume, za kike ziwe nyingi kuliko za wanaume ambao si wavaaji kama wanawake pia wakopaji wazuri. Usisahau kununua chupi za kisasa hasa cotton, soma mazigira unayouzia kama kuna wadada wanapenda nguo za kimamtoni then waletee hizo. Ngoja nikipata muda takutumia business card za maduka ya nguo Kampala.
Sijawahi kununulia mzigo Dar wala sina interest za kununua mzigo Dar sijui kwa nini!! anyway sipapendi kabisa DarKwa hiyo unataka kusema Kampala kuna bidhaa (eg. Nguo) kuliko Dar?
watu wote wakufuate PM! Kwanini kwa faida ya wote usiandike hapa!Wakuu nilienda Kampala wiki iliyopita kwa safari ya kwanza na nimerudi na kitu hicho juu [HASHTAG]#smartworldagency[/HASHTAG]
Njoo PM kwa maelezo zaidi