Pita hapa kama unataka kujua chochote kuhusu biashara Kampala

Pita hapa kama unataka kujua chochote kuhusu biashara Kampala

Mimi nataka kujua kwamba,nasikia Biashara ya Mitumba yote viatu au nguo zinazuiwa na ukikamatwa nazo hizo Biashara ni kesi na ikithibitika Unafungwa,je ni kweli?
 
Mimi nataka kujua kwamba,nasikia Biashara ya Mitumba yote viatu au nguo zinazuiwa na ukikamatwa nazo hizo Biashara ni kesi na ikithibitika Unafungwa,je ni kweli?
Khaa ngoja tufuatilie tujue, inawezekana
 
2ae66a58a8290074ddf078eaa1f722ed.jpg
 
Wakuu nilienda Kampala wiki iliyopita kwa safari ya kwanza na nimerudi na kitu hicho juu [HASHTAG]#smartworldagency[/HASHTAG]
Njoo PM kwa maelezo zaidi
 
Unapeleka au unanunua huko kuleta Bukoba? Kama unafuata huko wala usisubiri, nenda tu bei ni nafuu sana. Miezi miwili imepita nilipata safari ya kuja Tz kuangalia familia yangu na kibiashara changu then nikaenda Kampala kununua nguo, tatizo kwa sasa kuna ushuru wa kukomoana kwa TRA. Unalipia Mtukula na TRA Kyaka zote nchi moja. kama copper complex vile hapo mkuu cyo? owino?
cc05e1556fb00b966297dc90747a2d06.jpg
. Pia hapo Bukoba kuna wafanyabiashara wengi sana wananunua nguo Kampala lakini wengi wanakuja kuuza kwa jumla soko la Mtukula
 
Kingine hiyo biashara uchanganye nguo za kike na kiume, za kike ziwe nyingi kuliko za wanaume ambao si wavaaji kama wanawake pia wakopaji wazuri. Usisahau kununua chupi za kisasa hasa cotton, soma mazigira unayouzia kama kuna wadada wanapenda nguo za kimamtoni then waletee hizo. Ngoja nikipata muda takutumia business card za maduka ya nguo Kampala.
Kwa hiyo unataka kusema Kampala kuna bidhaa (eg. Nguo) kuliko Dar?
 
Back
Top Bottom